Questionaire ya NHC: Ni sahihi kuuliza asili au rangi ya mpangaji? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Questionaire ya NHC: Ni sahihi kuuliza asili au rangi ya mpangaji?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Aug 28, 2011.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Wana-JF: Kuna ujumbe huu unaosambazwa kwenye e-mail na mmoja wa wapangaji wa NHC kuhusiana na questionaire ya shirika hilo kwa wapangaji hususan pale swali lnauliza asili/rangi nk ya mpangaji (as highlighted in red) Tuijadili issue hii:

  ________________________

  Dear Tenants and general public,  NHC have started the exercise of collecting SOCIO ECONOMIC DATA about its TENANTS.I dont understand why they are asking questions which are not supposed to know. Are you an indian/asian or african/arab.This is total discrimination.How can anyone disclose his or her personal income and about where their children are studing,how many cars do the tenants have how many houses they have,How you are going to the work.Do you have any other incomes?


  The constitution of TANZANIA does not say that we should disclose our wealth and property,but it says that all the ministers, deputy ministers and member of parliaments should declare their wealth.Did they decalre their wealth?Their children are studying abroad,Does TANZANIAN CONSTITUTION say that all the ministers and deputy ministers children should study abroad at the expense of the TAX PAYERS MONEY.

  Did the TANZANIAN constitution say that all the ministers,deputy ministers,permanent secretaries to drive TOYOTA VX LAND CRUISERS?or NHC Director/staff to drive TOYOTA VX LAND CRUISERS.NHC says that they dont have money.where is all the rent money collected goes? what they are doing to the buildings they own?they only paint ONCE every after 5 years.The rent money collected is more then their monthly salary.But still they say it is not enough.They want to build the Houses for the poor public,but all the houses which will be built by NHC will be given to RICH PEOPLE only.
  Take example of GOLDEN PLAZA was built in PRIVATE and NHC partnership,did any poor people Got the Houses in that building?Another PRIVATE AND NHC BUILDINGS/FLATS are coming up in the center of the town.Lets see if poor people will get the NHC flats in those buildings.

  Some of the NHC staff are staying in the NHC flats and they have their own property in kibaha,kimara,kawe and mbezi they have rented those properties.So why they are asking us the tenants about it.When they have their own property.
  NHC management says that they want money to build more Houses,That is why they want to increase RENT.But that is totally wrong as the rent is MORE compare to the economy of the country and the people who are staying in these houses.
  If they want to raise money then they should LIST NHC on the DAR-ES SALAAM STOCK EXCHANGE, and not to increase the rent.Why they dont want to LIST NHC on the DSE because they BIG FISHES want be able to make money.Because the people will be the owners of the NHC and all the corrupt fishes will be watched by them.

  So pls dont fill the FORMS and they have no right to ask us all these stupid questions.

  Pls forward this message to as many people as possible.
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kama tunataka kujenga Tanzania moja ni vizuri kukawa na 'intergration' initiative. Kwa miaka mingi watanzania wenye asili ya asia hasa India wamekuwa na maisha ya kujitenga sana sijui wanapanga kuhama au la! Mjini imekuwa ndio kama maficho wanaona kinyaa kukaa na watanzania wengine sinza, mwenge, kijitonyama, tabata, gongo la mboto etc.

  Pamoja na kwamba ni haki ya mtu kuchagua mahali pa kuishi kulingana na matakwa yake, mienendo ya wahindi wengi inaashiria kama hawako comfortable kuchanganyika na watanzania wengine, na kuna kipindi najiuliza hivi hawa ni watanzania wenzetu kweli? kwa nini hata lugha ya kiswahili ni matatizo kwo wakati wamezaliwa hapa hapa? Haiingii akilini hata kidogo (mfano) mtu mwenye asili ya Tanzania azaliwe France, akulie France, asome hapo hapo France lakini asiongee kifaransa! Inakuwaje wahindi wengi waliozaliwa hapa hawaongei Kiswahili? au wanaongea kiswahili kilichopinda? Na hata ukiangalia hii article imeandikwa kiingereza! Nadhani muda umefika kujenga Tanzania moja na yoyote anayetaka kufaidi matunda ya Tanzania sharti awe Mtanzania kwanza & other things baadae.

  Kwa NHC kuuliza uasilia naunga mkono. Ni vizuri kujua ni kundi gani linaongooza kwa kukaa kwenye nyumba za National House and why? Hivi ni kweli Wahindi hawa hawana uwezo wa kupanga nje ya NHC? Miaka 50 ya uhuru tunataka Tanzania moja,na ningefikiri Uhindi ungehesabiwa kama kabila kama ilivyo kwa makabila mengine. Na kama mtu anajiona yeye ni muhimu basi apande ndege aishie zake. We can not afford to have this nonsense anymore.
   
 3. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  huyo anayepiga kelele mwambi asafiri kidogo nchi za watu wanamshangaza tena huko sio kwamba
  wanauliza asili tu wanauliza mambo yote kwa mfano unavuta sigara au uvuti, una wanyama wa kufuga, una watoto wa umri gani? kipato tena hiyo ni mwanzo kabisa na unakofanya kazi.

  Yaani kama NHC wanameleta hiyo naona kama wamechelewa sana, ila wanasitaili pongezi kwa kuliona ili mtu lazima umjue mpangaji wako iliwezekana hata blood group zao

  wasilete ujinga kwa kisingizio cha kubaguliwa huko kwao watu wamegoma kula ila haki itendeke iweze hata walete sheria pori eti ubaguzi

  wakapange temeke kama huko wanabaguliwa nani kawalazimisha
   
 4. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Hayawahusu NHC, hakuna la maana wanaloweza kufanya na hizi daya zaidi ya ubaguzi.
   
 5. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  kwanini ana wasiwasi kutoa taarifa? taarifa ni muhimu sana katika hatua za maendelea.

  Ila samahani hao ni NHC au NBS? maana maswali yamekaa kama yalipaswa kuulizwa na watu wa NBS!? Sijui bana maana wengine shule kidogo tunayo.
   
 6. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #6
  Aug 29, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,060
  Likes Received: 1,099
  Trophy Points: 280
  Sijambo la kushangaza kwa binadamu wenye alisili moja kukaa eneo moja, mimi sioni tatizo hapo, ndiyo maana katika nchi zilizo endelea kuna China town, Jamaican communities n.k

  Sehemu yoyote yenye jamii kubwa fulani ya watu wa asilia moja ambayo inajitosheleza kiuchumi (ajira, matumizi ya kila siku) bila ya kwenda mbali na wanapo kaa ili kupata matumizi yao, huwa na tabia ya kubaki na utamaduni wao ikiwemo lugha, mavazi n.k.

  Ukienda kusini mwa Marekani kwa mfano, katika majimbo ya Texas, New mexico na California kuna wamarekani wengi wenye asili ya kilatino ambao hawajui kabisa kiingereza. Hii ni kwasababu jamii yao haina haja ya kwenda nje ya circle yao kupata mahitaji ya kawaida kwahiyo wanabaki na utamaduni wao.

  kwahiyo kama wahindi wanaongea kiswahili kibovu sio ishu kwasababu hakuna sheria inayo lazimisha kuongea kiswahili fasaha.

  Hizo nyumba walijenga wao, Nyerere ndo aliwanyan'ganya sasa tatizo likowapi kukaa pale walipojenga? Kama kuna baadhi wano kiuka sheria hapo unahaki ya kusema laiki eti hawajichanganyi? Hapo inakuwa ngumu kukuelewa.
   
 7. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #7
  Aug 29, 2011
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Wamarekani huwa wanauliza mambo kama haya, kwa maana ya kwamba kama muombaji ni wa rangi au kabila fulani, kila mara mtu anapotuma maombi ya kazi, apartment, shule, au huduma nyingine lukuki za kijamii. Lakini mara nyingi huwa wanaweka wazi kabisa kwamba kujibu maswali husika huwa ni kwa hiyari.
   
 8. nditolo

  nditolo JF-Expert Member

  #8
  Aug 29, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 1,335
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Hawa jamaa Indians Arab ni wabaguzi sana kwao hata hapa wanjitenga na wao ndio mwanzo wa maovu yote hapa kwetu. Bahati mbaya wanausalama wa Tz wapo kiccm zaidi hawapo kitaifa. Hiyo questionnaire wajibu inavyotakiwa tena walipe kodi ya uhamiaji kila mwezi tuongeze mapato.
   
 9. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #9
  Aug 29, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  hacheni chenga NHC wanafanya kazi zao vizuri kwa sasa na uongozi sio hule wa zamani wakati mwingine watanzania tuwe na shukurani
  hao watu wanaze form au waame kuna nyumba nyingi tu hapa bongo wanajificha humo kwa nini?
   
 10. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #10
  Aug 29, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  waingereza wana mfumo kama huo ila kujaza sio hiyari, tena wanafanya mpaka credit reference kama uwezo wako kiuchumi ni mdogo
  au haukopesheki wanakutosa nyumba, unatakiwa kwenda za serikali

  mbaya zaidi nyumba kama za NHC kwa nchi kama uingereza hatoi kwa mtu ambaye sio raia wa nchi yao hakuna ruhusa kama hiyo labda uwe mkimbizi au unakibali maalumu sasa iweje hapa kwetu nyumba zilizojengwa kwa kodi ya wananchi wanakaa wahamiashi wa kihindi peke yao

  tuige wahisani

  TAIFA KWANZA
   
 11. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #11
  Aug 29, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mbona inaeleweka kuwa wakaaji wengi ni wa aina GANI????
   
 12. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #12
  Aug 29, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  halafu wanataka support ya wananchi , hawa watu bwana
  wangejua mtaani watu wanachuki na matendo yao ya kikora
  huko kwao watu wamegoma kula kwa mambo kama haya
   
 13. Mzalendo

  Mzalendo Senior Member

  #13
  Aug 29, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 180
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  <br />
  <br />
  Wewe acha kutumia limasaburi lako kujibu upupu hapa kuweza kuchukua taarifa hizo lazma huwa na Data protection Act hili kumlinda mtoa taarifa zake na pia mpokea taarifa, ndio kwanza state inandaa mchakato mzima wa data protection kwaajili ya nitambulisho vya utaifa kama nia ya NHC ni njema kwanini wasisubiri hilo au ndio utendaji wakiluhanjo lunjo hivi?
   
 14. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #14
  Aug 29, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,817
  Likes Received: 10,107
  Trophy Points: 280
  sijaona tatizo hapo, ila NHC wameona mbaaaali kuwa wenye nacho ndio wanapangishwa hizi nyumba sasa ili kuweka ukweli huu ilibidi kuuliza maswali kaama hayo, kuna ule "uvumi" kuwa nyumba hasa magorofa yamejaaa asians sasa kwa kutumia dodoso hii ukweli utapatikana, hilo swali halina shida kabisa. Ni mawazo yangu binafsi
   
 15. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #15
  Aug 29, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Wahindi wana nyumba zao za ibada huwezi kukuta mtu mweusi.
   
 16. NGOGO CHINAVACH

  NGOGO CHINAVACH Verified User

  #16
  Aug 29, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 797
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 60
  we toa taarifa bana, unaogopa nini kujieleza, wewe ndiyo mbaguzi unakataa watu wasikujue
   
 17. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #17
  Aug 29, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  hapa tanzania kuna shule za wahindi peke yao

  Binti wa kihindi akiolewa na Mtanzania mweusi anatengwa kwenye jamii ya wahindi, mwanaume wa kihindi akioa dada zetu weusi ni mgogoro pia anatengwa.

  wana mabenki wanayotumia zaidi kuliko yale ya umma kama BOA, Exim

  ukiwakuta beach kama kule coco beach oysterbay wanakaa kwa kujitenga na jamii ya waafrika.

  maduka ya wahindi yapo katikati ya mji huwezi kuyakuta pembezoni

  Wahindi hawajengi nyumba kama ilivyo kwa watanzania wengine sijui wanakwenda kujenga nchi gani wengi wamepanga NHC

  Ipo haja ya jamii ya wahindi kujitizama upya ili waonekane na wao ni watanzania sio kwa jina bali kwa vitendo. Shukrani ziwaendee wahindi wachache walioamua kuwa watanzania halisi bila kujali rangi
   
 18. H

  Heri JF-Expert Member

  #18
  Aug 29, 2011
  Joined: Aug 28, 2007
  Messages: 242
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  What will come out of the study is that the majority of NHC tenanats ni Tanzanian of African race. Itasaidia NHC kujibu maswali kuwa wapangaji wengi ni wa rangi gani.
   
 19. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #19
  Aug 29, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,011
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Mbona hayo ni maswali ya msingi tu. Ngoja waulizwe ili tujue ni asilimia ngapi ya watanzania wenye asili ya kiasia/weusi/waraabu/wazungu n.k wanaishi kwenye nyumba za NHC. Pia ni vema tukajua kama wana nyumba ama hawana. Vipato vyao pia vinatakiwa vijulikane. Nadhani hayo ni maswali ya utafiti ili kulisaidia shirika kutengeneza sera nzuuuuuri kwa manufaa ya watanzania wote. Duh Mchechu anataka kuwakamata watu pabaya!!! Taratibu ndugu hao watu si wema wanaweza wakakutengenezea zengwe ukashindwa pa kutokea!!
   
 20. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #20
  Aug 29, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Nasikia nyumba za NHC zinaficha wahamiaji haramu wa kihindi....uhamiaji mpo hapo... sio rahisi kuzipenya nyumba hizo hivyo wahindi wanakuja na viza halali kwa muda maalum hawarudi kwao wanabaki nchini na kuajiriwa na makampuni ya wahindi na kwa vile wahindi wanafanana kwa mtazamo wa macho ya waafrika sio rahisi kuwatambua
   
Loading...