Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 68
Nehemia Mchechu wewe ni mmoja wa wazalendo tunaowahitaji kwa sasa fanya kazi kwa manufaa ya wote sio kundi fulani la watu... Hivi kumuuliza mtu kabila, rangi au utaifa kuna ubaya gani kama kuficha utambulisho huo hauna nia ya uhalifu? Mchecho wewe ni kijana mdogo uliyeamua kuonyesha umma kwamba vijana wanaweza. hakuna atakayekufanya kitu kwa kila jambo jema unalolifanya kwa maslahi ya umma watanzania wote tuko nyuma yako kwa mema yote unayofanya kwa nchi yako.