Question

Question

Silverstar

Member
Joined
Jun 2, 2011
Posts
10
Reaction score
1
Jaman wana JF nilikuwa naomba mnisaidie mealekezo ya nama ya kuunganisha simu yangu na internet(simu yenyewe ni Black Berry Curve 8310) plzzzzzzzzzz????????
 
Soma user manual, au piga 100 kwa msaada zaidi. sababu hatujui unatumia mtandao upi
 
Download desktop manager,kisha weka APN ya Airtel kwenye desktop manager,nunua bundle ya Internet baada ya hapo unaanza kusurf
 
Back
Top Bottom