Queen Sendiga kaelezea umuhimu wa rasilimali zilizopo Mtwara kunufaisha wanamtwara
"Jukumu lingine kubwa kwa serikali makini inayojali maisha ya watu ni kupanga namna njema ya matumizi ya rasilimali zilizopo kwenye maeneo/mikoa husika kwa manufaa ya wakazi wake
ADC ikipata nafasi ya kuongoza nchi inaahidi kurejesha ujenzi wa kiwanda cha gesi hapa mtwara kama serikali ilivyoahidi wananchi wa mtwara awali na baadae ikafanya tofauti bila kuwashirikisha
Ujenzi wa kiwanda cha kuchakata gesi kutasaidia kupunguza tatizo la ajira kwa vijana,uhakika wa umeme na upatikanaji wa gesi ya gharama nafuu kwa matumizi ya majumbani
Pia mgombea alipata nafasi ya kuwanadi madiwani wa kata mdimba, mikunda na kwanyama
Kesho tunandelea na kapeni ikiwa ni siku ya mwisho kwa wilaya ya Tandahimba"
View attachment 1596161View attachment 1596162View attachment 1596163View attachment 1596164View attachment 1596165View attachment 1596166View attachment 1596167