Queen of the Best Melody’s

Queen of the Best Melody’s

hapana mwanaume na taarabu? kuna mushikeri
labda imri unakufanya uone hivyo,muulize mzee wako,muziki enzi zao taarab ulikua mmojawapo,hata baba wa taifa anamjua na kupenda nyimbo za bi shakila
 
nisaidieni wimbo unaitwa Domo la Udaku wa Joha Kassim.
 
Back
Top Bottom