Wananzengo habarini mlioko vijiweni tulioko makazini na walioko wanakojuwa wao naamin sote tuwazima
Queen of the Best Melody’s huyu mtu kama namuelewa flan hatar anakaz tam tam hatar
moja ya kaz zake
Hatar sanaaa
Mashauz popote ulipo keep it up
hahahahahahah jamaa hayo si yao ya ndani sisi / mimi namuelewa kwa kazi zake sio mapenz jamaa so sihitaji kibali
taarab ni muziki wa pwani na visiwani..hayo mengine ni yakoMwanaume kushabikia taarab....[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Binafsi inanitia mashakani sana....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Samahani kwa kutoka nje ya mada
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Nilikuwa ' nakutahadhirisha ' tu Mkuu kwani namjua ' Mrisho Khalfan Ngassa ' alivyo na ' Wivu ' wake wa ' Kisukuma '.
wazungu wanaijulia wapi taarab,lakini kwenye kufumuliwa marinda wapoje!?Wapenzi wa taarabu wako hivi
![]()
wazungu wanaijulia wapi taarab,lakini kwenye kufumuliwa marinda wapoje!?
hapana mwanaume na taarabu? kuna mushikeritaarab ni muziki wa pwani na visiwani..hayo mengine ni yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa mwanaume si jambo la kawaidaMwanaume kushabikia taarab....[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Binafsi inanitia mashakani sana....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Samahani kwa kutoka nje ya mada
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hiyo kiunoni sio Shanga kweli?mchele mchele ayeya