Queen of South season 2

Queen of South season 2

Hunyu

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
4,774
Reaction score
4,339
Husika na somo tajwa hapo juu. Nawasalimu kupitia jina la Bwana.

Naomba mwenye kufahamu link au web ambako naweza kuipakua movie tajwa hapo juu anisaidie. Nimefanya juhudi zote bila mafanikio.

Lakini pia kama kuna series nzuri kama hiyo unaweza niwekea link ili niipakue.

Shukurani na sikukuu njema.
 
Quuen of south bado season 2 haijatoka!!, tafuta series inaitwa the catch, u won't be disappointed!.
 
jaribu kuingia kickass torrent... kama ikiwa imetoka lazima itakuwepo kule..!!!!
 
Quuen of south bado season 2 haijatoka!!, tafuta series inaitwa the catch, u won't be disappointed!.

Hii series ni kali sana. Nimeangalia season 1 na 2. Moja kati ya series kali kwa kipindi hiki
 
Back
Top Bottom