Queen Michelle

Queen Michelle

good to see you back beautiful..

si tupo ila mi na Lizzy Luu tumehamisha kambi kidogo.
tupo tupo ila hatuiingi huku kwa sana. kuna shughuli
tunahangaikia...

Lakini we hata kwa skype haupo sana..
mi na Lizzy Luu huwa tuko huko mara nyingi tu...

WE miss you big time my dear..
I think we need to do reunion after Easter hahah lol
:smile-big:
How's every thing with you??

Can't wait for the reunion....am doing good...and i hope all is good on ur side....wapi my shem??
 
Jamani Jamani akina mama kimbilieni madira ya papo, skin tait za orange na viatu vya kijani.

Taarabu lishaanza wote vidole juu " Kupendwa ndio huku kupendwa kugombaniwaaaaaa, sio wewe zumbukuku kutwa kiguu na njiaaaaaa"

Andazi utanywea togwa safari hii....utapikia bafuni jikoni utaogea safari hiii....vidole juuuuuuuuu!! Hayawi Hayawi...lol
 
Nyumba yetu ndogo inawachanganya jamani
Wanaigombania wakati ina mapacha wetu.

Au na yenyewe huwa inaruka tik taka

:rockon::lalala:

Yaani mpaka sasa dalili zinaonyesha mama mapacha wangu kishaangukia mikononi mwa hashycool. Shabhani atakuwa ananiogeshea mapacha wangu.

:smile-big:😛layball:
 
Kwa mara ya tatu na ya mwisho... am warning you... AM NOT YOUR MKUU, I AM BABA MAPACHA WATATU WAKO. Ok? Repeat it in English/French so that this sharobaroz can get it loud and clear...:A S 39:

Got you the super dad of my three beautiful twins ever....!! :smile-big: :smile-big:
 
Michelle baby, Michelle my queen.
A lady u are, with brains at that.
It is not rite us to fight ova u,
like a prize, it makes me uneasy.

I surrender my love, not out of fright
but out of whats rite! Till u make up ur mind,
ever i will protect u. No pressure beib,
say who you want. If it happens not me,
the ****er beta make sure he wont hurt u.
Or I swear upon my chief Gods in Moshi i will kill him without a thot.
 
Nyumba yetu ndogo inawachanganya jamani
Wanaigombania wakati ina mapacha wetu.

Au na yenyewe huwa inaruka tik taka
Mapacha wetu wana bahati sana... tuombe Mungu ashinde HC, Akishinda shabani kuna hatari akawabemenda.
Mmoja atakuwa taxi driver (huyu ndo jiniaz wao)
Mwingine atakuwa shoe shiner
Na yule mwenye kipaji aliyekuwa anarusha tiktaka tumboni atakuwa mwanakwaya. Nawaonea huruma wacheza shoo wa Rozi Mhando.
 
:rockon::lalala:

Yaani mpaka sasa dalili zinaonyesha mama mapacha wangu kishaangukia mikononi mwa hashycool. Shabhani atakuwa ananiogeshea mapacha wangu.

:smile-big:😛layball:

Baba watoto mapacha watatu wangu ye kazi yake kutoa EURO za malezi tu....can't complain...am lucky!! :A S shade:
 
Michelle baby, Michelle my queen.
A lady u are, with brains at that.
It is not rite us to fight ova u,
like a prize, it makes me uneasy.

I surrender my love, not out of fright
but out of whats rite! Till u make up ur mind,
ever i will protect u. No pressure beib,
say who you want. If it happens not me,
the ****er beta make sure he wont hurt u.
Or I swear upon my chief Gods in Moshi i will kill him without a thot.

Ha ha ha ha....my mind is made up Shabhan.... i thought its clear....😛layball:
 
I can feel it X-mkemwenza.....lol....happy for me?? :A S angel:

Very happy for you, si unajua tena kule najitanua sasa hivi.

Andazi utanywea togwa safari hii....utapikia bafuni jikoni utaogea safari hiii....vidole juuuuuuuuu!! Hayawi Hayawi...lol

He ehe he, afu mzee Yusufu anatafuta mtunzi wa mashairi.
 
Mapacha wetu wana bahati sana... tuombe Mungu ashinde HC, Akishinda shabani kuna hatari akawabemenda.
Mmoja atakuwa taxi driver (huyu ndo jiniaz wao)
Mwingine atakuwa shoe shiner
Na yule mwenye kipaji aliyekuwa anarusha tiktaka tumboni atakuwa mwanakwaya. Nawaonea huruma wacheza shoo wa Rozi Mhando.

Sijapenda ulivyoongea Baba mapacha watatu wangu....sipendi mtu amseme Shabhan hivyo....watoto wakilia nani atawabeba sasa?? :suspicious: :rapture:
 
kamanda kwa taarifa yako hao triplets nimewafungulia
a/c BOA kila mmoja na starter pack ya M 10 kama kianzio chao.
Kila mmoja ana wet nurse wake walo pimwa kwa TBS sitaki
mama yao apate shida. Watakua na maisha supa vile mama yao anataka!
 
Thats my queen!
 
Very happy for you, si unajua tena kule najitanua sasa hivi.

Unajitanua??? ukimya wangu usikutie kiburi Kongosho....its not over!!

He ehe he, afu mzee Yusufu anatafuta mtunzi wa mashairi.
Hana uwezo wa kunilipa EURO nazolipwa kwa kule mapacha wa ODM :yo:
 
kamanda kwa taarifa yako hao triplets nimewafungulia
a/c BOA kila mmoja na starter pack ya M 10 kama kianzio chao.
Kila mmoja ana wet nurse wake walo pimwa kwa TBS sitaki
mama yao apate shida. Watakua na maisha supa vile mama yao anataka!

Nitake nini tena hapa duniani?? gunia la chawa?? this is it...i have got my mind made up!
 
Got you the super dad of my three beautiful twins ever....!! :smile-big: :smile-big:

Baba watoto mapacha watatu wangu ye kazi yake kutoa EURO za malezi tu....can't complain...am lucky!! :A S shade:

Sijapenda ulivyoongea Baba mapacha watatu wangu....sipendi mtu amseme Shabhan hivyo....watoto wakilia nani atawabeba sasa?? :suspicious: :rapture:

Now you are talking....

Afu ushamnunulia Shabhan baby walker? Kama hela haitoshi sema fasta kabla sijaenda Sarajevo.
 
Back
Top Bottom