Queen Michelle

Queen Michelle

Basi cha kwanza ni kurelax tu, wala usiwe confused.
waangalie tu, wasome. You don't have to decide anything
there is nothing to act about sasa hivi, just watch and enjoy :argue:
Mi nilidhani ni mtu mmoja because Hashy is good at poems
But at the look of it, ni kama sio mtu mmoja.
Shabhan has warlike manner, ukute he is here kumkesa Hashycool,
na anapitia kwako kumpandisha hasira. Just seat back and watch.😛op2:

Thank you sisy. naona na S kasema nimuache a handle hii issue...i like men who acts responsibly in situations like this!
 
Uwiii, HC nimemwona juzi, Shabhan naye kafunguka
Huyu naye analea triplets wa ODM, baada ya kuachwa kule alikokuwa mke wa pili

Dah, nilidhani mie tu kumbe hata wewe x-mkemwenza ni hawavumi lakini wamo.

Ha ha ha ha, leo unabanwa hadharani.

Hata mi nlimwona HC days ago.. But shabhan anaonekana yupo determined..

Afu kongosho upo na ODM hapo?

ODM ni Shirika la Umma, usiku unapomkutia analala kwa mke huyo huyo.
Ni jogoo la mtaa wa kwa mtogole.

Ila sasa, CV yake haitoshi kwenye booklet utadhani Jek Chen.

Hahaha basi akipita kwako hapo umwambie namtafuta sana nna ujumbe wake..

Endelea kumsaidia shabhan kumpata michelle..

Haya, ntakuitia.

Talking behind ODM's back? Of course not. This is love.

I love you too ODM's flowers.

Mmmmmmwwwwwaaaaaahhhh!

Come this way angels.
 
Ha ha ha ha....not really...kila mmoja wao ana advantage zake....uchokozi tu....:A S shade:
at least naweza kuwapongeza kwa kimoja:
I have seen you back, I have seen you laughing. 🙂
 
Thank you sisy. naona na S kasema nimuache a handle hii issue...i like men who acts responsibly in situations like this!


i like women who like men who can handle situations like this!
 
at least naweza kuwapongeza kwa kimoja:
I have seen you back, I have seen you laughing. 🙂

Am laughing out loud kwa kweli....sikukuu imeanza vizuri....sijui Shabhan kakimbilia wapi??
 
Thats my girl...

Hivi si wajua mjukuu ni mke wa babu eh?:A S-heart-2:
Najua wanataniana vya uchumba, but ni utani tu
Ila kuna babu wengine wanataka kuvifanya serious
Ukileta tu vya kua serious namwanbia Shangazi! lol
 
BWM naomba kukumbusha hela ya matumizi ya watoto,nimebakiza 400,000 tu ya leo na kesho....lol
Jeez! hiyo ni Tshs, Dola ya Zimbabwe au ya Marekani. Hiyo si yatosha kununua vitumbua tu?

Hebu cheki MPesa yako kama inakubali Euro wanangu wasijekufa kwa kwashakoo.:bathbaby:
 
Back
Top Bottom