Akihojiwa kwenye kipindi cha Clouds, Diamond Plutnumz amesema hana ugomvi na alikiba na anamfahamu Ali hata kabla ya mziki na yeye alishawahi kusaidiwa na Ali Kiba kuhusu masuala kadhaa.
Amesema ameshakutana na Ali Kiba Nairobi na wakaongea matatizo ambayo wanachonganishwa nayo na kugundua ni maneno ya watu tu katikati. Ataka watu hasa media waache uchonganishi.