nikisoma nakala hii Na kuangalia taifa letu roho inakuwa inauma sana.Tech gap inazidi kuongezeka tu Na mudaa cyo mrefu itakuwa kubwa sana.Tujitahidini ku keep up aisee juhudi ziongezeke Na wenye juhudi hongereni ingawa watu wanazinguaga ila msikate tamaa
Kweli kabisa problem solving kwenye technical aspects haijapewa kipaumbele na watu waliopata bahati za kwenda ma vyuoni hatuwaoni waki try ku solve issues Na kama wapo basi hawapewi kipaumbele.