FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,987
- 47,058
Binafsi si shabiki wa uchawi, ila mtu anapoweka hizi alama ('....') huwa unaelewa nini? Tafakari kabla ya kukurupuka mzee..sio uchawi ni sayansi, usilete uchawi kwenye mambo ya muhimu, waafrika kila muda kila mnachofanya ni dini na uchawi mbele, yaani hamkai mkafikiria maendeleo, uchawi na dini vimewakaa mbele kuliko kitu kingine chochote.
Tarakilishi hii inafanya kazi kwa kutumia misingi ya 'uchawi'. Mfano tunajua kwamba mtu hawezi kuwa dar es salaam na wakati huo huo akawa Mwanza, lakini kwa tarakilishi hii hilo linawezekana. Pia tunafahamu ili utoke sehemu A kwenda sehemu B ni lazima uwe umetumia njia moja wapo ya zile zilizopo ili kufika, lakini tarakilishi hii inasema unaweza ukatumia zote kwa mpigo kufika.
Kikokotoo hiki cha kwantamu kitakuwa na uwezo (speed) mara bilioni ya vilaptop tulivyonavyo sasa.
===============================
Mzee quantum computing ni moto hatari sana, kuna hii aina ya quantum algorithm inaitwa shor's algorithm inafanya exponential factoring faster zaidi ya algorithm yyt ile kwenye hizi computer za kawaida. In short nakuunga mkono kuuita hii kitu 'uchawi' coz miaka ya tisini hivi kuna jamaa alitumia quantum computer akaweza kudecrypt secured communications zote by then.Tarakilishi hii inafanya kazi kwa kutumia misingi ya 'uchawi'. Mfano tunajua kwamba mtu hawezi kuwa dar es salaam na wakati huo huo akawa Mwanza, lakini kwa tarakilishi hii hilo linawezekana. Pia tunafahamu ili utoke sehemu A kwenda sehemu B ni lazima uwe umetumia njia moja wapo ya zile zilizopo ili kufika, lakini tarakilishi hii inasema unaweza ukatumia zote kwa mpigo kufika.
Kikokotoo hiki cha kwantamu kitakuwa na uwezo (speed) mara bilioni ya vilaptop tulivyonavyo sasa.
===============================
Sidhan kama kamaanisha uchawi wa kiafrika ila kwa mtazamo wangu naona katumia neno uchawi kuonyesha uwezo wa ajabu wa hii technologyUnaingiza uchawi wa kiafrika na kuuthaminisha kwenye ishu za kisayansi???
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu huwa wanakurupuka bila kuelewa nini maana ya mtu kuweka alama hii ( '...' ) kwenye nenoSidhan kama kamaanisha uchawi wa kiafrika ila kwa mtazamo wangu naona katumia neno uchawi kuonyesha uwezo wa ajabu wa hii technology
Schrödinger's cat ability to be both alive a dead is amazing. Quantum mechanics pasua kichwa.Chochote kishakuwa na neno quantum unaweza ukahisi ni sci-fi