Quantity surveyor vs urban and rural planner

mzee wa kismati

JF-Expert Member
Aug 25, 2013
2,287
793
Wadau naomb msaada hapa kati ya mkadiriaji gharama za ujenzi n watu wa mipango miji ni wapi wanalipwa vzuri n je vp soko la ajira n kujiari n mwsho mazingara ya kazi(uzur)
 
Though kuna watu wa mipango miji waliojiajiri ila ni wachache kulinganisha na watu wa kukadiria gharama za majenzi...QS anaweza kutake off vimiradi vingi vingi wakati mtu wa mipango akisubiri kupima eneo kwa ajili ya matumizi fulani!
 
Japo si expert saaana kwa mambo hayo ila nadhan kwa QS ananafuu ukilinganisha ni hyo nyngn katika suala zima la kujiajili ambalo hilo ndo la msingi sana katika zama hizi za maisha katika kupambana na adui Umaskini pamoja na ukoloni.
 
Japo si expert saaana kwa
mambo hayo ila nadhan kwa QS ananafuu ukilinganisha ni hyo nyngn katika
suala zima la kujiajili ambalo hilo ndo la msingi sana katika zama hizi
za maisha katika kupambana na adui Umaskini pamoja na ukoloni.
well said broh
 
Back
Top Bottom