quality unazo admire kwa wengine............

quality unazo admire kwa wengine............

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,611
jamani leo ningependa tujadili hiki kitu

sometimes unakutana na watu wanakugusa kwa tabia zao

quality fulani ambazo pengine unatamani kuwa nazo lakini huna
au huwezi kuwa nazo.....

mfano wapo watu wana uwezo wa kusamehe hata kosa liwe kubwa vipi

wengine hawana wivu kabisa,hata akikukuta unaongea na mkewe
hamgombani kabisa....

wengine hawakasiriki kabisa hata uwafanye nini....

na kadhalika na kadhalika

sasa wewe ni quality ipi ambayo huna but ungetamani kuwa nayo???????

mimi huwa nawa admire sana watu ambao wana uwezo wa kukataaa
mwanamke mzuri kwa sababu tu yupo tayari na mwingine
tena bila kuonja....
nilikutana na dogo mmoja nikasema...
why i am not like him lol

haya nicango yenu tafadhali..........
 
na admire mwanaume mkweli.....

naadmire wanawake /wasichana wenye mapenz ya kweli utamkuta demu kasoma mpk chuo ivi na kaz nzuri anaolewa na kajamaa la sa7 ,aimaanish ajapata wa standard yake..anawakataa cz kampenda uyo graduate wa std 7
 
The boss nikisoma michango yako mingi inaelekea u mdhaifu when it comes to dadas......ukishindwa tumia condom....

mie nawaadmire wanawake wale watiifu kwa waume zao hawana ubeijing...mie nilivyo mkorofi najijua nyumba yangu itakosa amani tu....:shut-mouth:
 
naadmire wadada /wanawake wenye moyo km wa MAM THERESA

Napenda wakaka wenye akili na maamuzi km ya CHE GUEVARA

napenda wababa wenye akili na mawazo km ya NYERERE,ISSA SHVJ

napenda machalii wanaopenda reggae music km wa boby,culture,burning spear.tosh.lucky dube ....

napenda watu wanaopenda COUNTRY MUSIC km wa dol paton,don william....mkasikilize COWARD OF THE COUNTRY NA COAT OF MANY COLOURS

NAWACHUKIA WAMAMA WENYE SWAGA ZA MARIA ANTONETE....

Nakuadmire wewe unayesoma apa....:majani7:
 
The boss nikisoma michango yako mingi inaelekea u mdhaifu when it comes to dadas......ukishindwa tumia condom....

mie nawaadmire wanawake wale watiifu kwa waume zao hawana ubeijing...mie nilivyo mkorofi najijua nyumba yangu itakosa amani tu....:shut-mouth:

mhh km umejijua yatar km u mkorof vp kuna jitiada zozote umechukua kupunguza ukorof sweet at?
 
mhhhhhhhhhhhhh
naona sijaeleweka
 
sina udhaifu huo
nimewakaa wengi mpaka umri huu
tatizo ni kuwa watu wengi wanashindwa naona
 
sina udhaifu huo
nimewakaa wengi mpaka umri huu
tatizo ni kuwa watu wengi wanashindwa naona

Ungekua unaweza usingesema unatamani kua kama kijana anayeweza...kubali tu kwamba sketi ikijileta kwako hata kama ni bibi kizee huwezi kuitolea nje!
 
Nawaadmire sana wanawake powerful kama Condoleeza Rice(i know,i know).....I always wonder if she is freaky,that will be awesome!!
 
Ungekua unaweza usingesema unatamani kua kama kijana anayeweza...kubali tu kwamba sketi ikijileta kwako hata kama ni bibi kizee huwezi kuitolea nje!

unajua the thing is
zamani nilikuwa hivyo
but nikaona na appear kama mwenye maringo hivi
nikajaribu kuwa social,sasa now
naonekana kama nna udhaifu na wadada
sijui niweje?
 
jamani leo ningependa tujadili hiki kitu

sometimes unakutana na watu wanakugusa kwa tabia zao

quality fulani ambazo pengine unatamani kuwa nazo lakini huna
au huwezi kuwa nazo.....

mfano wapo watu wana uwezo wa kusamehe hata kosa liwe kubwa vipi

wengine hawana wivu kabisa,hata akikukuta unaongea na mkewe
hamgombani kabisa....

wengine hawakasiriki kabisa hata uwafanye nini....

na kadhalika na kadhalika

sasa wewe ni quality ipi ambayo huna but ungetamani kuwa nayo???????

mimi huwa nawa admire sana watu ambao wana uwezo wa kukataaa
mwanamke mzuri kwa sababu tu yupo tayari na mwingine
tena bila kuonja....
nilikutana na dogo mmoja nikasema...
why i am not like him lol

haya nicango yenu tafadhali..........

Ohh kumbe unaadmire mtu km mm co..Namshukuru sn Allah kwa hili aise kuna jmaa pia naishi nae karibu alinambia anatamani kuwa km mm.
 
unajua the thing is
zamani nilikuwa hivyo
but nikaona na appear kama mwenye maringo hivi
nikajaribu kuwa social,sasa now
naonekana kama nna udhaifu na wadada
sijui niweje?

Kua mstaarabu...
Hata ukikaribishwa chakula kwa jirani wakati umeshashiba ni ustaarabu kusema Asante ila hapana!
 
na admire mwanaume mkweli.....

naadmire wanawake /wasichana wenye mapenz ya kweli utamkuta demu kasoma mpk chuo ivi na kaz nzuri anaolewa na kajamaa la sa7 ,aimaanish ajapata wa standard yake..anawakataa cz kampenda uyo graduate wa std 7

mmmmmmhhh haya!
 
Kua mstaarabu...
Hata ukikaribishwa chakula kwa jirani wakati umeshashiba ni ustaarabu kusema Asante ila hapana!

i do that everyday
tatizo nimesema how i appear
sio jinsi nilivyo
 
na-admire wanaume romantic..siju jitu cold mpaka noma huoni raha ya mapenzi, utani na purukushani za hapa na pale.

pia mwepesi wa kumaliza viporo vya ugomvi mkikosana, siyo ukikosea kidogo anabeba bango mwezi au miezi..
 
i do that everyday
tatizo nimesema how i appear
sio jinsi nilivyo

Good good!

Mi nawaadmire wadada walio tulia kwenye ndoa zao!!

Wamama wanaohangaika kulea watoto wao wenyewe!!

Wakaka/wababa wakweli na waaminifu kwa wenzi wao.

Wababa wasiokimbia majukumu.

Vijana wenye mitizamo chanya!

Na wote wanaokwepa kuwatapeli wenzao iwe kwenye mapenzi au maishani kwa ujumla!

Pia wote wanaoleta thread na kutoa michango ya mafunzo hapa jamvini!
 
ni kweli kwa watu wengine utaonekana km unaringa lkn nakuhakikishia watu watakuheshimu sn
 
na-admire wanaume romantic..siju jitu cold mpaka noma huoni raha ya mapenzi, utani na purukushani za hapa na pale.

pia mwepesi wa kumaliza viporo vya ugomvi mkikosana, siyo ukikosea kidogo anabeba bango mwezi au miezi..

Dah BJ hii sasa ni komesha lol...
labda utusaidie wengine, hivi mwanaume romantic huwa yukoje?
 
Back
Top Bottom