nanjilinji
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 1,206
- 566
Kwenye Red utawaonea maana na foleni hizi sijui. Ila kaka yangu nisimsemee maana siku hizi fedha inaweza kufanya loloteNashukuru kwa taarifa,je mna washauri wa ujenzi?Nahitaji matofali haraka na nataka kujenga nyumba vyumba vitano,sebule,jiko,dinning an bafu,je ni matofali kiasi gani na je mtanibebea hadi msewe?je mna mafundi wa ujenzi wa kuaminika na kma mnao nitumie massage private
Kukudhihirishia kwamba dogo mimi nakufahamu sana, hilo lilikuwa shamba la Mama Munuo alikuwa anafuga nyati na sasa linamilikiwa na mwanaye Frank Munuo. Mpo jirani na kiwanda cha kutengeneza vyakula vya kuku cha mpemba. Bisha
Kukudhihirishia kwamba dogo mimi nakufahamu sana, hilo lilikuwa shamba la Mama Munuo alikuwa anafuga nyati na sasa linamilikiwa na mwanaye Frank Munuo. Mpo jirani na kiwanda cha kutengeneza vyakula vya kuku cha mpemba. Bisha
Nashukuru kwa taarifa,je mna washauri wa ujenzi?Nahitaji matofali haraka na nataka kujenga nyumba vyumba vitano,sebule,jiko,dinning an bafu,je ni matofali kiasi gani na je mtanibebea hadi msewe?je mna mafundi wa ujenzi wa kuaminika na kma mnao nitumie massage private
jina la kampuni pls na location ilipo hapo tegeta.
Ok.1200 Tz sh kwa inch 6 plain,na 1100 Tz sh kwa inch 5 plain,karibu ofisin uione bidhaa bora iliyotengenezwa kwa LUCKY CEMENT ORIGINAL FROM PAKISTAN...
Don't beat around the bush,say what u think,KARIBU.
Ahsante kwa taarifa mkuu. Jiandaeni kuwa mwenyeji wangu.Halaal Co. Ltd,,,,ni neno la kiarabu maana yake ni HALALI yan Sikuibii cement,sikuuzii tofali zilizochakachuliwa,nakuuzia bidhaa bora kwa bei halali (VALUE FOR MONEY).....Tupo TEGETA kituo cha NYAISHOZI upande wa kushoto wa barabara kama unatoka MWENGE,.....Karibu sana mkuu.