Qualification information kwenye tenders

Qualification information kwenye tenders

djzmpr70

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2020
Posts
224
Reaction score
153
Wakuu nilifanikiwa kuanzisha kampuni ya ujenzi mwaka 2017, lakini cha kustaabisha ile naanza tu kuomba tenda nikakumbana na vigezo vigumu sana kuweza kupata kazi.
Unakuta unatakiwa uwe na annual turnover ya miaka mitano iliyopita yenye mamilioni let say 200.

Unakutana na kigezo uwe na current commitments zianazofanana na hizo unazoomba.
Unakutana na evidennce of working capital kubwa kuliko hata uliyodeclare wakti unaanzisha kampuni.

Unakutana na experince kama kampuni umwe umefanya kazi zinazofanana na hizo(kumbuka ni kampuni mpya)

Unakutana na mambo mengine kama Tax clearence za TRA
Unakutana na vitu kama Financial statement ya miaka mitatu mpaka mitano.
Je katika hali hii kuna kupata kazi kweli? Naomba ushauri
 
Ndio bongo mkuu,fanya tu figisu na walioshika mpini,tenda utazipata.ndio ninachojua.au utafute kampuni zingine zoefu wakupe mchongo kupitia wao.Kampuni ni mpya unaambiwa uzoefu,akili au matope.
 
Back
Top Bottom