Qsat q15g ime-cease tena

Qsat q15g ime-cease tena

1954tanu

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
1,038
Reaction score
487
Wadau kwa mara nyingine tena kisimbusi changu qsat q15g kimeacha kusimbua siku ya tatu leo.Kwa sasa naona fta tu:- TBC,EAST AFRICA,ITV,STARTV NA CHANNEL TEN.
Je!kuna mwenye taarifa kulikoni.Tafadhari nijuzeni.
 
Makaburu wamefungua ofisi maalumu za kudhibiti njia zote za Panya za kupata DSTV, ingawa na Mchina naye anajitutumua kuzibua hizo njia kila zinapozibwa. Kwasasa dongle nyingi zimeathirika na huu udhibiti hivyo kua mvumilivu wakati huu ambao mchina naye anatafuta ufumbuzi. Sio sahihi kusema hakineshi maana FTA zinapatikana sema haitegui encript channels.
 
Back
Top Bottom