Qatar's 2022 World Cup Stadiums

Wanajisumbua tu,WC 22,Haitofanyika huko kwanza walihonga,na joto lile mpaka 50 nani atacheza football huko?

Hao waliyowapa wanayajua yote hayo na walishafanya research ndio wakawapa qatar, siyo kama wewe unakurupuka tu na kuja kubwabaja hapa kwenye forum embu kakojoe ukalale
 
Hao waliyowapa wanayajua yote hayo na walishafanya research ndio wakawapa qatar, siyo kama wewe unakurupuka tu na kuja kubwabaja hapa kwenye forum embu kakojoe ukalale
Allah tawfique
 
nimejaribu kuwaza lakini hisia zinaniambia kuwa Dubai itafaidika zaidi kuliko muandaaji
 

Wanaamini kule ni kwao
 
Last edited by a moderator:
Hao jamaa watafunika kuliko hata Russia 2018.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…