Kwa kuwa Qatar kuna bahari inayoilink na Iran, basi vikwazo hapo haviwezi kuwaathiri sana.
Ila ishu itakuja pale watakapojaribu kuiwekea blockade kwa kupeleka meli za kijeshi kuzuia bidhaa zisiingie Qatar.
The other Alternative ni kufanya regime change kwa kuwapeleja ISIS wauondoe utawala wa mfalme wa Qatar, ila hiyo ni approach dhaifu maana Iran hatokubali ISIS awe jirani yake lazima iran ataingilia hapo!
Hii itailazimisha Saudia iombe msaada wa kijeshi kwa Israel , Kwa mara ya kwanza Israel atukuwa ally na waarabu ktk vita dhidi ya Irani!
Uturuki atajaribu kuwa mediator, Hizbollah atalianzisha huku upande wa Magharibi na Urusi ataactivate mitambo ya Kulilinda anga la Syria kwa ukamilifu wake!. Waasi wa Hauthi kule Yemeni watapewa order na Irani wasonge kuingia katika ardhi ya Saudia, Iraq itakuwa neutral mwanzoni lakini vita ikishaanza kuvaa sura za Usuni na Ushia wataingia kisirisiri wakiwasapoti wanamgambo watakaokuwa wanaungwa mkono na Iran!!. Kwa muda wote huu Marekani ns Urusi watakuwa wanaita pande zote zisitishe mapigano!, diplomasia ya hali ya juu Baraza la Usalama la UN zitakuwa zikiendelea!. Wakati haya yanaendelea, Kim kule North Kirea ataendelea kujaribu silaha zake na kuziboresha maana dunia nzima macho yatakuwa hapo middle east!
Hii kitu siyo nzuri wadau ni hatari