Qatar air

Hakuna Qatar ya Dar to Nairobi....Qatar inakuja Doha to Dar to Doha mara mbili kwa siku na ni kila siku...wanaleta A319/320/321....


Acha kukariri wewe, labda useme kwasasa imefutwa. Mwaka juzi nimepanda mara mbili Qatar Airways ya asubuhi kwa nyakati tofauti na ilikuwa inatua Nairobi kabla ya kwenda Doha. Kama unabisha waulize wahusika wa hiyo ndege wakufahamishe.
 
Ok nimekuelewa pa kukupatia!

Wacha kuvizia wake Za watu wewe!
Kwa huko kwenye parokia hakuna wale masister waliokaa kihasarahasara!
Vuta mmoja ummpe mahaba kama una jeuri!
Teh teh teh teh!
 
Acha kukariri wewe, labda useme kwasasa imefutwa. Mwaka juzi nimepanda mara mbili Qatar Airways ya asubuhi kwa nyakati tofauti na ilikuwa inatua Nairobi kabla ya kwenda Doha. Kama unabisha waulize wahusika wa hiyo ndege wakufahamishe.

Haijawahi kuwepo,labda itakuwepo...unajuaje kama anaekuambia sio muhusika?...Nachoweza kukubali ni kuwa ilikuwa na ushirikiano na KQ...so kama imejaa,wanakuchukua na ndege ya KQ hapa then unaenda kupata connection ya Qatar Airways Nairobi...TAke it,si lazima ubishe
Qatar Airways haijawahi fanya route za asubuhi toka Dar to Doha,bali aaubuhi huja toka Doha na kuondoka saa saba mchana,na nyingine huja mchana na kuondoka jioni...There is no such a schedule for QR buddy
 
Wacha kuvizia wake Za watu wewe!
Kwa huko kwenye parokia hakuna wale masister waliokaa kihasarahasara!
Vuta mmoja ummpe mahaba kama una jeuri!
Teh teh teh teh!

Teh,teh,teh,yeh,teh,teh.......!!!!!!!!
Umenifuata hadi huku?
 


Tubishane kwa faida ndugu yangu! Nilete ticketi za hizo trip zangu na tuwekeane dau.Niambie tukutane wapi kama upo dar! Dau la dola 100 tu linatosha.Upo tayari?
 
tutathubutu.....kama hatujaondoka na hivyo viscreen wakati wa kushuka..........

ha ha ha ha preta umenimaliza kwa cheko....maana miaka ya nyuma mtu kuchomoka na headphone,glass au mataulo ya british airways na KLM ilikuwa dili bongo ho ho ho
 
Tubishane kwa faida ndugu yangu! Nilete ticketi za hizo trip zangu na tuwekeane dau.Niambie tukutane wapi kama upo dar! Dau la dola 100 tu linatosha.Upo tayari?

Wewe unataka ligi...ni kawaida kuwa na tiketi ya QR lakini ukapanda KQ na ukaenda kufanya connection Nairobi...hata mimi nina ya KLM next week lakin ntapanda Kenya Airways hadi HKJK then HUEN kwa KLM....narudia tena....QR haijawahi kufanya safari zake za Doha to Dar to Doha kupitia Nairobi...
 
haaaaaaaaaaahaaaaaaaaaahaaaaaa p u made me laugh thanks i have added my days of living.
tutathubutu.....kama hatujaondoka na hivyo viscreen wakati wa kushuka..........
 
yah....airbus.....na ni kutoka Doha kwenda sehemu zingine za dunia.....hii haiji huku uswazi...........

Swiss International wanatumia kama hiyo katika route ya Dar-Nairobi-Zurich...ni A360..yenyewe haina tu hizo screen za juu...ila kila kiti kina screen yake..
 


Upo tayari tubishane kwa faida ndugu? Nairobi hatukubadilisha ndege.Ilitua ikapakia ikapaa mpaka Doha.

Au nishushe dau?
 
Orait orait........sasa nataka mwenye route za Air Mogadishu......anipatie tafadhali.......nina udhuru wa ghafla.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…