Qatar air

eh.... hii Itakuwa economy class
 
yah....airbus.....na ni kutoka Doha kwenda sehemu zingine za dunia.....hii haiji huku uswazi...........

Ile Airbus A380-800 hapana chezea bana. First class ipo juu ghorofani kule.
 
Lakini hio yenye viscreen inakuja uswazi au?

sijawahi kuiona....ninazoonaga ni boeing za kawaida tu.....ambazo mnashare screen.......sio kila kiti na screen yake........
 
Ok..Nadhani ni good idea wameweka screen kwenye kila kiti,kila mtu ataangalia kile anachopendelea!!
 
Sio samaki tu, si umesikia kuna viongozi wanapakia mpaka mkaa kwenye ndege!

we unasema mkaa........ulisikia helicopter moja ya geshi ilianguka.....ilikuwa na mpaka mbuzi ndani yake.....chezeiya bure wewe..........
ilikuwa ni mwendo wa....wee....lete tu afande....hapa kitaenea.......si hapo Dar tu tunaenda........
 
Umenikumbusha mbali..........
 
sijawahi kuiona....ninazoonaga ni boeing za kawaida tu.....ambazo mnashare screen.......sio kila kiti na screen yake........

Zipo sana hapo shamba la bibi Emirates wanaleta sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…