Q Chillah : Mwana FA acha utoto

Rutagwerera Sr

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
2,296
2,000
Mimi toka FA ashindaniahwe na jide enzi zile nilimshusha.
Nakumbuka jide tickets zote sold out. Kwa mwanafa pale makumbusho posta hakuuza. Siti zilikua na magap kibao. Wakaja pale IFM kutuomba tuingie kwa buku 5, watu wakagoma
Basi wakaomba watu waingie bure. Wengine wakakubali wengine hatukuhangaika. Nakumbuka msiba wa ngwair ndo ulifanya show ihairishwe. Jide ndo alianza kutangaza show then FA akatangaza same date. After msiba wa ngwair jide akatangaza tarehe ingine na amount. Fa nae akatangaza same date na kiingilio.
Bado nisimshushe?

Kwa suala la corona kwangu naona wanafanya drammar tuu na Ummy. Yaan as if corona aint big deal.
Kwa upande mmona ina faida kwa kua ile tension ta uoga inapungua lakini hasara yake ni kwamba watu wataichukulia poa pia.
Kwahiyo nimemuelewa vyema chillah.
Kuwa teja haimaanishi mtu hana utimamu wake. chid benz mbona anatema sana madini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sure chief umeandika ma-point mazito. Mi FA nilikua namheshimu sana ila nikamdharau alpokubali kutumika kumshusha Jide. Watu mmetoka mbali nyinyi ndiyo mlikua wasanii miongoni mwa vizazi vya mwanzo kisha leo hii unasaliti chama. Since that day nikamuona ni dunduu tu!
 

Msolopagazi

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
664
250
Q Chillah amenukuliwa akisema " Mwana Fa acha utoto" . Hii ni baada ya msanii Mwana Fa ambae jina lake halisi ni Hamisi Mwinjuma kujitangaza anaugua maradhi ya Corona. Q Chillah ana amini kuwa kitendo cha Mwana Fa kujitangaza kua na Corona ni Kiki Tu kama iliyo fanywa na msanii wa Muziki wa Singeli, Meja Kunta ambae miezi kadhaa iliyo pita alijitangaza kufariki dunia na muda mchache baadae akaachia Ngoma.

" Kama Mwana Fa ana Corona basi Hermonize na Taji Liundi nao watakua na Corona Kwa sababu walitumia the same mic kwenye uzinduzi wa Albamu ya Hermonize"

Miaka kadhaa iliyopita msanii Q Chillah aliwahi kunukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari nchini Tanzania akidai kuwa msanii Diamond amemuibia nyota yake kauli iliyo pingwa vikali na Diamond ambae mara baada ya kuulizwa kuhusu Tuhuma hizo alisema " Siwezi kuiba nyota ya Teja ".
Awali Q Chillah akinukuliwa na gazeti moja la.udaku nchini Tz akisema kuwa baada ya kusota Kwa muda mrefu kwenye game alishikwa mkono na kumpelekwa Kwa mtaalamu ambae akikwambia Q Chillah kuwa unasota Kwa sababu Diamond ameiba nyota yako.

"Maneno ya mganga Yana ukweli ndani yake Kwa sababu before that Diamond aliwahi kuhojiwa anamkubali sana msanii gani wa bongo akajibu ana nikubali Mimi Chief" alinukuliwa akisema.

"Muda mfupi baadae Diamond akaanza kushine kwenye game huku Mimi nikiyumba Kwa namna ambayo haielezeki" aliongeza Q Chillah.

# MY TAKE : Mwana Fa wewe ni Big Brain usimjibu Q Chillah.. Ur a Poet by nature na Wana fasihi wote duniani huandika wimbo au shairi katika karibu kila Jambo wanalo kutana nalo katika maisha yao. Kuugua Corona ugonjwa ambao ume claim maisha ya maelfu ya watu duniani na ukapona NI Jambo kubwa Sana katika maisha ya mwanadamu. So Kaka mkubwa wewe ukipata nguvu na nafasi andika.wimbo rekodi ilete Kwa mashabiki wako, tutasikiliza na kusapoti kazi yako.

Don't wrestle with a pig coz if u do both of you will become dirty , u will be ashamed of it but the pig will be proud of it.

Hizi dhana ya kuamini kila kinacho fanywa na celebrity ni Kiki NI dhana ya kipuuzi sana, MTU anaweza kupoteza uhai wake kizembe huku watu wakiamini anafanya Kiki.

Hicho kilimtokea dada yetu Marehemu Amina Chifupa mwaka 2007. While she was fighting for her life at Lugalo Hospital, some people were thinking that it was just a Kiki mpaka siku alipo tangazwa kupoteza maisha yake ndio watu wakaanza kuamini.

Mwana Fa ni msanii mkubwa na mkongwe hapa Tz. Aina ya muziki anao fanya hauhitaji Kiki za kijinga.

Mungu akufanyie wepesi Kaka mkubwa Hamees Mwinjuma alias Mwana F nenga.

And you Q Chief somebody need to teach you how to talk from both side of Ur mouth.

U need to shut up Ur mouth before someone shut it up for you.

U need to get the fact right. Mwana Fa amesema alikua ameenda South Africa na SA ni nchi inayo pokea watalii wengi Sana kutoka Ulaya so alipo fika bongo alikua honestly and reasonably kuamini au kuhisi kwamba huenda na yeye pia ameambukizwa Corona so he isloted himself na baada ya vipimo akathibitika kuwa na maambukizi.

Mwana Fa kujitangaza alikua ana spread awareness to the society hasa ikizingatiwa kuwa yeye ni celebrity.

Pia saikolojikale and spirichwari unapo kuwa Una tatizo kubwa halafu ukalitangaza tatizo Hilo Kwa watu wengine NI Jambo lenye afya sana Kwa sababu Kwa kufanya hivyo watu hao unao watangazia kuhusu tatizo lako wanakusaidia kulibeba kwenye nafsi zao na kama ulikuwa hujui kila tatizo hua linakaa kwenye nafsi.

Ndio maana MTU aliekua na Jambo ambalo alikuwa anadhani ni Siri akilitoa Kwa watu wengine basi nafsi yake ina feel kabisa kwamba imetua mzigo mkubwa.

Q Chillah unatakiwa ukubali kwamba kipaji chako kilisha kufa toka Enzi za Pontyo wa Pilato.

Kama kweli unakipenda kipaji chako unatakiwa ukipe maziko ya heshima " decent burial" coz that is the most best thing u can do to something that u love when it dies.

So wewe ulishakufa kimuziki, usipokubali kuzikwa kimuziki basi huwezi kufufuka kimuziki

Ulikuwa na kipaji cha Hali ya juu sana but ulikiua Kwa sababu ya kibri chako, nakumbuka niliwahi kukushuhudia ukimzaba kibao Marehemu Ruge eti Kwa sababu aliwaambia wasanii wote baada ya show kwamba pesa zenu mtalipwa Kesho yake na wewe ukasema pesa yako huwa hailali nje ( MASHARTI ya mganga ) Nadhani hili ndo tukio lililo ya kipaji chako.
Naona jamaa unamshambulia sana Q Chief sababu Q Chief na watanzania wengi timamu wanauliza Mwana FA alienda lini South Africa wakati jumamosi alikuwa kwenye uzinduzi wa albamu ya Harmonize so South alienda lini na kurudi lini, pia kitendo cha msanii msomi na uelewa kama FA huwezi kuiponda korona kwamba malaria ni hatari kuliko korona wakati dunia nzima imesimama sababu ya korona ,shule biashara zinafungwa sababu ya korona mmarekani ametangaza raia zake wote warudi nyumbani kitu ambacho hakijawahi kutokea ktk dunia hii karibuni halafu anatokea mtu kama FA anasema sisi weusi hauwezi kutuua amefanya utafiti gani kwa kweli FA kajishusha sana heshima yake hata kama aliugua korona siyo kwa approach hiyo aliyotumia kuulezea watanzania kwa kweli amechemka
 

hearly

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
41,905
2,000
Naona jamaa unamshambulia sana Q Chief sababu Q Chief na watanzania wengi timamu wanauliza Mwana FA alienda lini South Africa wakati jumamosi alikuwa kwenye uzinduzi wa albamu ya Harmonize so South alienda lini na kurudi lini, pia kitendo cha msanii msomi na uelewa kama FA huwezi kuiponda korona kwamba malaria ni hatari kuliko korona wakati dunia nzima imesimama sababu ya korona ,shule biashara zinafungwa sababu ya korona mmarekani ametangaza raia zake wote warudi nyumbani kitu ambacho hakijawahi kutokea ktk dunia hii karibuni halafu anatokea mtu kama FA anasema sisi weusi hauwezi kutuua amefanya utafiti gani kwa kweli FA kajishusha sana heshima yake hata kama aliugua korona siyo kwa approach hiyo aliyotumia kuulezea watanzania kwa kweli amechemka
Yule jamaa itakuwa ni punga sio bure
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom