Wadau, mm ni mgeni wa python language.
Ninataka ku implement client inayotransfer ma files zaidi ya moja kwenda kwa server app, in python language.
Ningependa nitumie Stream Sockets (TCP) na sio Datagram Sockets(UDP).
Nimecheki hii sample HAPA online lakini sijafanikiwa ku transfer files hizo.
Naomba mwenye sample code au aliye elewa hii code anielimishe.
Shukrani.