Nakfa
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,971
- 14,388
Link hii hapa Www.m.me/join/AbbZ4dvkeEDtECFl
Nahisi ndio sahihi sana maana mitaala karibu ya vyuo vyote programming language wanaanzia na C kama basic language then ndio wanaendelea na language nyingine so naona ukianza na hiyo unapata basic ya language nyingine na inakurahisishia kuzisoma vizuri!
According to my point of view.
Welcome to the limitation of Python.![]()
Link hii hapa Www.m.me/join/AbbZ4dvkeEDtECFl
Nahisi ndio sahihi sana maana mitaala karibu ya vyuo vyote programming language wanaanzia na C kama basic language then ndio wanaendelea na language nyingine so naona ukianza na hiyo unapata basic ya language nyingine na inakurahisishia kuzisoma vizuri!
According to my point of view
Hivi C language unaweza ukafanya projects zipi ambazo unaweza uka solve tatizo fulani?
Nahisi ndio sahihi sana maana mitaala karibu ya vyuo vyote programming language wanaanzia na C kama basic language then ndio wanaendelea na language nyingine so naona ukianza na hiyo unapata basic ya language nyingine na inakurahisishia kuzisoma vizuri!
According to my point of view.
micro controllers/microprocessors programmingNa projects zipi naweza kuzifanya kwa kutumia hiyo language
Hiyo java Tia mfukoni....Shida yangu ni Data science na Machine learning, sasa Java itafaa kweli. Mkuu
😂 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hiyo java Tia mfukoni....
Python z the Best n highly recommend..
You can learn it for 1 week , practice more n data structure n Algorithms..1week...then Jump into Data Science
Now I understand kwanini kwenye ofisi ya HoD kulikua na karatasi limeandikwa "Life is too short, You need PYTHON "

inaonekana ilimpiga sana hyo kama ilivyonipiga knock out
Now I understand kwanini kwenye ofisi ya HoD kulikua na karatasi limeandikwa "Life is too short, You need PYTHON "

inaonekana ilimpiga sana hyo kama ilivyonipiga knock outMimi ni complete biginer kama wew ila nakushauri tafuta app inaitwa quora huko ndo wamejaa manguli wa hii mambo kuna game najifunzia very very easily wayAsante broh, una kingine cha kuniongezea, maana mim ni completely biginner ila nina passion ya programming
Dah kudadeki😂Hiyo java Tia mfukoni....
Python z the Best n highly recommend..
You can learn it for 1 week , practice more n data structure n Algorithms..1week...then Jump into Data Science
Python utasoma mwenyewe, hakuna course inayo relate na CS ambayo wanafundisha python hapa bongo labda sikuizi, Nakumbuka AI na ML tulitumia c++ na kwenye expert system tikatumia prolog kwa hiyo komaa.Na anaetaka kujifunza haya darasani achukue course zipi miongoni mwa computer science, information technology ama computer engineering
Upo sahihilabda nikusaidie tu, Python sio ngumu ila ina tumia kitu kinaitwa Libraries kufanya maajabu, Izi Libraries zimetofautiana kulingana na kazi husika mm natumia Tensorflow kwenye AI vitu kama Image-to-text, taxt-to-image au chatboot simple tu. Pia ng'eli ng'eli mkuu kama ngeli haipandi itakua changamoto Pia soma data structure & Algorithm alafu tumia jupiter notebook(anaconda) kujifunza alafu kuna IDE moja inaitwa PYCHARM PRO(kwangu mm ndo best kwa py) au KOMONDO au MVS kudevelop systeam. jua tu maajabu ya python yapo kwenye libraries