Habari za leo wadau? Naomba wajuzi na wataalamu wa vifaa na mambo ya ujenzi mnijuze
kati ya aluminium na pvc ni ipi nzuri kwa madirisha Dar maeneo ya karibu na bahari?
asanteni
Aluminium ni karne moja na pvc sina hakika kama inaweza kudumu kwa miaka 50 ukilinganisha na jua na joto la dar, piga hiyo no utapata maelezo kwa mtaalam 0754016470
PVC zina muonekano mzuri saana, hasa zikitengezwa kitaalam, ni fire retardant, pia ni weather resistant na hazishiki kutu pia, Japo bei ni ghali kiasi lakini it is worth it. Aluminum ni cheaper, nimezitumia miaka kadhaa sasa, lakini my next project ni lazima nitumie UPVC, zina muonekano wa kipekee na machaguo mengi zaidi ya rangi. Ni kweli aluminium inadumu zaidi, lakini UPVC ni around 30 years inabidi ubadlishe!!