Putin Tena

Jidu

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
1,232
755
putin.PNG

Boss wa zamani wa KGB akijivinjari!wakati wa kikao cha mataifa G8!putin 2.PNG
 
nasikia taikwondo,judo,karate zimelala hapo.jamaa ana hold black belt.
 
nasikia taikwondo,judo,karate zimelala hapo.jamaa ana hold black belt.
Kwenye hiyo michezo uwe umejiandaa kweli kweli pindi unapokutana nae kwani kwenye hiyo sanaa ya mapigano huwa hapigiki kiurahisi!
 
Kiongozi wa kudumu wa Russia! Wamagharibi hawamuiti huyu Gaidi lakini huku Africa Mugabe wanamchimba mkwala na utawala wake wa kifalme!Ama kweli kunya anye kuku akinya bata kaharisha.
 
Huyu jamaa hana utani kabisa yaani ukiingia kwenye anga zake anakupoteza haraka sana,kuna wapinzani wake wengi tu kwa sasa wako na Sir God kwa ajili ya huyu jamaa
 
Back
Top Bottom