Putin super power wa mchongo

Supreme leader wao Yuko ahera anafurahia mabkra yake 72
 
Putin anapigana na ulaya yote.kunawanajeshi wa kila taifa kutoka ulaya wanaenda ukraine mamia kwa mamia kuisaidia dhidi ya urusi.Angekuwa ni ukraine peke yake angekuwa amechakazwa kitambo sana.Mimi nimeshiriki kupigana upande wa urusi dhidi ya ukraine na nimejionea wanajeshi wa nchi karibu zote za ulaya wanaisaidia ukraine na kwa sasa nimerejea nyumbani kuikomboa Tanganyika siku ya Afcon.
 
Na huko duniani regime change imeshindikana
Hawa jamaa ni kama wanajitoa ufahamu. Kiasi unawauliza kwahiyo hasara za dola bilioni 200,kambi 13,ndege vita 41,balozi 5 na askari 600 kudhurika kisa tu kumuua mzee wa miaka 86 Khamenei!??
Muda mwingine ni wa kuwaonea huruma tu.
 
Wao kwao US huwa hashindwi watahamisha hata magoli ili mradi kuprove point yao.
 
Ndio aoneshe usuper power wake sasa, super power ni pamoja na kuwa na nguvu ya ushawishi kwa makundi mengine kujiunga mkono, kwani yeye si asaidiwe na China, NK na Jaan kama ana huo usuper power
 
Ndio aoneshe usuper power wake sasa, super power ni pamoja na kuwa na nguvu ya ushawishi kwa makundi mengine kujiunga mkono, kwani yeye si asaidiwe na China, NK na Jaan kama ana huo usuper power
Nortk Korea ilishasaidia kurudisha mji wa Sumy ambao Ukraine na EU mercenaries waliukalia kwa muda.
Hadi hapo Russia kashaonesha usuper power. Amebeba asilimia 26 ya ardhi ya Ukraine na bado anabeba ardhi zaidi. Aya hiyo Marekani imefanikiwa nini kwa IRAN!??
 
Ndio aoneshe usuper power wake sasa, super power ni pamoja na kuwa na nguvu ya ushawishi kwa makundi mengine kujiunga mkono, kwani yeye si asaidiwe na China, NK na Jaan kama ana huo usuper power
Ndio super power hivyo, anapigana na entire europe na bado anaendelea. Angekuwa legelege angeshaanguka. Yani one man army
 
Bado no Mwamba! Kama anapigana na NATO na US ndani ya Ukraine! Kwa nini asiwe Superpower?
 
Putin ana akili sana, mtulivu.Ndo maana unasikia ulaya yote, Australia, Japan, Canada wanatoa milio.
Wazungu weupe wana EGO Putin au Russia angekua weak, wangeishammaliza siku nyingi.
Unakumbuka Serbia walichomfanya 1999??
Putin wamekipiga Chechnya miaka 10, hawana haraka, but ndo wanabadirisha historia hivyo,
 
We jamaa ni fala sana Ukraine kanchi kadogo? Kaangalie kijeshi ni yangapi
 
Unaripoti kutoka kijiwe gani mkuu
 
U
🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…