Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,027
- 12,790
Imagine anapigana na Ukraine ambayo inapewa support na EU na US lakini kuna mmoja ndiye anajiita super power akishirikiana na mwenzake ambaye naye wanadai ni tishio walisema wataimaliza Iran ndani ya week 2 sasa ni zaidi ya miezi bado wanahaha. Tena wanapigana na nchi ambayo imekuwa na vikwazo kwa zaidi ya miaka 30 na nchi hiyo kama inapata support inapata hiyo support kwa siri sana sio kama Ukraine.Vladimir Putin, yaani miaka ya nyuma ulikuwa ukisikia hili jina unatetemeka,
Wakati anaivamia Ukraine ilionekana ndani ya muda mfupi tu ataiteka Ukraine, piga nikupige baina yake na kanchi kadogo, huku akichezea kichapo heavy, kisha kukimbilia africa kushawishi vijana kwenda kupigana na Ukraine kunifanya nimdharau sana.
Nyie timu putin, ukubwa wa huyu mwamba upo wapi? Mwenzake china yupo us muda huu.
Kama kiongozi wako anaweza kuuawa kwenye ardhi yake, tena eneo la siri, basi mmeshindwa.Imagine anapigana na Ukraine ambayo inapewa support na EU na US lakini kuna mmoja ndiye anajiita super power akishirikiana na mwenzake ambaye naye wanadai ni tishio walisema wataimaliza Iran ndani ya week 2 sasa ni zaidi ya miezi bado wanahaha. Tena wanapigana na nchi ambayo imekuwa na vikwazo kwa zaidi ya miaka 30 na nchi hiyo kama inapata support inapata hiyo support kwa siri sana sio kama Ukraine.
Kweli masuper power ni wa mchongo siku hizi
Hapa sasa ndio tungeuona ukubwa wake, yeye si mwamba apige eu na us.Hiyo Ukraine bila support ya EU na US, Putin angeshamaliza kazi mapema
Urusi siyo USA ..marekani ndiyo kubwa jingaVladimir Putin, yaani miaka ya nyuma ulikuwa ukisikia hili jina unatetemeka,
Wakati anaivamia Ukraine ilionekana ndani ya muda mfupi tu ataiteka Ukraine, piga nikupige baina yake na kanchi kadogo, huku akichezea kichapo heavy, kisha kukimbilia africa kushawishi vijana kwenda kupigana na Ukraine kunifanya nimdharau sana.
Nyie timu putin, ukubwa wa huyu mwamba upo wapi? Mwenzake china yupo us muda huu.
Siyo simple kihivyoHapa sasa ndio tungeuona ukubwa wake, yeye si mwamba apige eu na us.
Walisema wanabadili regime na wanamaliza vita ndani ya week mbili, vipi super power amefanikiwa kufanya hilo? Tena ni super power wawili wanamshambulia wanayemwita legelegeKama kiongozi wako anaweza kuuawa kwenye ardhi yake, tena eneo la siri, basi mmeshindwa.
nyumbani kwake ni eneo la siri?Kama kiongozi wako anaweza kuuawa kwenye ardhi yake, tena eneo la siri, basi mmeshindwa.
Kuna wanajeshi wa Korea Kaskaxini wanamsaidia Mrusi, Putin kaenda kumuomba mpaka Iran amsaidie Drones za kutosha tu achilia mbali vijana wengi wa Africa ambao Putin anawalaghai Kwa pesa kupiganisha vita na Ukraine ni aibu sana Kwa nchi kubwa kama Russia kufanya hayaImagine anapigana na Ukraine ambayo inapewa support na EU na US lakini kuna mmoja ndiye anajiita super power akishirikiana na mwenzake ambaye naye wanadai ni tishio walisema wataimaliza Iran ndani ya week 2 sasa ni zaidi ya miezi bado wanahaha. Tena wanapigana na nchi ambayo imekuwa na vikwazo kwa zaidi ya miaka 30 na nchi hiyo kama inapata support inapata hiyo support kwa siri sana sio kama Ukraine.
Kweli masuper power ni wa mchongo siku hizi
Kwani Korea kaskazini ni superpower mkuu? Tena nayo ina vikwazo kama Iran. Sasa masuper power wawili wanakacamia kanchi walikokawekea vikwazo walisema ndani ya wiki mbili wamemaliza ila mpaka now miezi wameshindwa.Kuna wanajeshi wa Korea Kaskaxini wanamsaidia Mrusi, Putin kaenda kumuomba mpaka Iran amsaidie Drones za kutosha tu achilia mbali vijana wengi wa Africa ambao Putin anawalaghai Kwa pesa kupiganisha vita na Ukraine ni aibu sana Kwa nchi kubwa kama Russia kufanya haya
Ni rahisi TU kupiga EU na US ikiwa moja ya nchi hizi au zote zitarusha kombora,ndege au drone kuelekea Urusi,halafu ndio useme kama yeye mwamba apige US au EU.Hapa sasa ndio tungeuona ukubwa wake, yeye si mwamba apige eu na us.
Marekani hua anasaidiwa na nchi zaidi ya moja na bado anakula za macho 😁Kuna wanajeshi wa Korea Kaskaxini wanamsaidia Mrusi, Putin kaenda kumuomba mpaka Iran amsaidie Drones za kutosha tu achilia mbali vijana wengi wa Africa ambao Putin anawalaghai Kwa pesa kupiganisha vita na Ukraine ni aibu sana Kwa nchi kubwa kama Russia kufanya haya
If Urusi ni superpower wa mchongo basi Marekani ni super power wa MAKARATASI.Vladimir Putin, yaani miaka ya nyuma ulikuwa ukisikia hili jina unatetemeka,
Wakati anaivamia Ukraine ilionekana ndani ya muda mfupi tu ataiteka Ukraine, piga nikupige baina yake na kanchi kadogo, huku akichezea kichapo heavy, kisha kukimbilia africa kushawishi vijana kwenda kupigana na Ukraine kunifanya nimdharau sana.
Nyie timu putin, ukubwa wa huyu mwamba upo wapi? Mwenzake china yupo us muda huu.