Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,510
- 6,893
Hebu nenda kwenye account ya twitter ya Putin kisha njoo ucomment tena.Mkuu, nafikiri hajaongea, ame tweet; unataka kunambia mkuu wetu aki tweet TBC hua wanatangaza!? Ile salamu ya kuwatakia ushindi taifa stars through tweeter mbona sijaiona kwenye chombo chochote cha habari!?
Labda tu kweka record sawasawa; nijuavyo motto/binti wa raisi wa zamani wa USA bwana Clinton na yule wa George Bush university level hawakusoma Marekani, in fact hata kwao huko sio kweli kwamba eti watoto wao wote husomea kwenye nchi zao; raisi wa NK kasomea wapi!?
Aisee..em mwambie huy mzee achukue balimi mbili hapo kwa mangi alafu alipie mweyewe mimi ntakuja kumpa company...maana ameongea ukweli mtupu aisee.....TUBADILIKE! shenzi taipu...hajatukanwa mtu hapoLakini kama kuna ukweli hiviView attachment 941488
Anaandika kwa kingereza!?Hebu nenda kwenye account ya twitter ya Putin kisha njoo ucomment tena.
Ndio nenda katizame tweets zake.Anaandika kwa kingereza!?
Hilo ni la kweli wala si tusi.Lakini kama kuna ukweli hiviView attachment 941488
Painful truth... Sio toseeLakini kama kuna ukweli hiviView attachment 941488
yaan anachomaanisha yeye anapatqa faida je hawa wetu?Mbona yeye putin anatengeneza bunduki anakuja kuziuza afrika?kwanini asiuze huko huko nchini kwake?
Yupo sahihi hajaongea kinyume na tulivyo waafrika hata Trump hakuongea uongoLakini kama kuna ukweli hiviView attachment 941488
Suala là feki libakie moyoni mwako kwetu cha umuhimu ni Ujumbe mzuri alioutoa Mr rais putinSiku hizi waafrika tumeamua kufikisha ujumbe kwa viongozi wa kiafrika kupitia migongo ya watawala wa nje tunawapakazia
Uarabuni mzeeHii ni fake news naona.
Putin ana interests kibao Africa
Uarabuni Kwa mazuzu wenzentu maana ktk ulimwengu huu mazuzu ni wawili tuu mwarabu na mwafrikaHii ni fake news naona.
Putin ana interests kibao Africa
Putin hatumii na mwenyewe Alisha semaLakini kama kuna ukweli hiviView attachment 941488
Alafu kituko unakuta aliyeandika kufikisha ujumbe huu ni mwafrika yupo Uk.Siku hizi waafrika tumeamua kufikisha ujumbe kwa viongozi wa kiafrika kupitia migongo ya watawala wa nje tunawapakazia