PUTIN ON AFRICA AND AFRICANS

PUTIN ON AFRICA AND AFRICANS

Mkirindi

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2011
Posts
6,752
Reaction score
4,972
NDUGU WANA JF, UKWELI USEMWAPO UNAMAUMIVU NA MTAMU SANA, HAPO CHINI NI TAFSIRI YA RAISI PUTIN WA URUSI.:::;:::

Russia President, Vladimir Putin Says: Africa Is A Cemetery For Africans.

"When an African becomes rich, his bank accounts are in Switzerland. He travels to France for Medical treatment.

He invests in Germany. He buys from Dubai. He consumes Chinese. He prays in Rome or Mecca. His children study in Europe. He travels to Canada, USA, Europe for tourism.

If he die, he will be buried in his native country of Africa.

Africa is just a cemetery for Africans. How could a cemetery be developed?"
~Putin Asks!
 
Lakini kama kuna ukweli hivi
IMG-20181121-WA0001.jpeg
 
Nimeenda google kutafuta na kusearch wee maneno yako hayo uliyopost na putin nimekosa


hio habari ipo kwenye blog moja ya Naija ndio imepost hio kitu basi na hakuna website yeyote iliyopost .


So ni fake 100%
 
Putin akiongea lazima media kama Russia tv na zingine za Russia na media za nje zilizopo urusi wange publish sasa hawaja publish sasa utaipa vipi authenticity ya habar hio..????
Jibu swali media ipi ingekuwa sio fake?
 
Educate him that Africa is not a country to begin with.
 
kuna ukweli maana ukiweka hela zako kwenye benk za Africa watawala wanaweza kuzichukua bila ya wewe kuuliza mfano Tanzania benk ikiwa mufilisi mfano zilizochukuliwa na BoT mpaka sasa kuna watu hawajapewa hela zao so ni bora mtu kuweka sehemu amabyo ipo salama
 
Back
Top Bottom