Putin ni Mwanadamu au Shetani Katika Umbile la Mwanadamu?

Putin ni Mwanadamu au Shetani Katika Umbile la Mwanadamu?

Mtoa maada kwenye maisha usipende kutumia moyo mihemuko tumia akili. Umesema Putin Ni shetani? Yaani wewe na hao unao watetea kwa ujumla wenu ninyi na penda waita mashetani ya magharibi. Haiwezekani inchi ikiuke mikataba ya usalama wa dunia. Hafu fala Kama wewe unajifanya unahuruma kuliko mungu. Zelensky amebeshwe msalaba juu ya hayo sio putin. Yaani kwa kifupi Ni kwambie kuwa urussi ndio balance of power
Wewe kima usiache akili zako chooni. Angewapiga hao west basi. Mpumbavu wewe.
 
Utakua umeanza kufatilia Wamashariki baada ya mzozo huu, tena hii juzi baada ya Putin kuivamia Ukraine.

US NATO, Ulaya, Hawakua na lengo jingine zaidi ya Kuiua Urusi kiuchumi ili kuisambaratisha.
Leta links. Kusema tu bila kuleta any kind of proof, utaaminikaje? Ndio maana naiita conspiracy theory ..
 
Putin hata mimi simuelewi ila sometimes nahisi labda kuna jambo alifanyiwa ambalo mimi nawe hatulijui, ila hao BBC nao sio wakuwaamini sana na taarifa zao kwenye issue kama hii, wako upande wa NATO zaidi.
Jengo halikuwa na wagonjwa/watoto, wanajeshi wa Ukraine walitaka kuweka kambi pale kuna video inaonesha kila kitu.
 
Libya,Iraq,Afghanistan na Syria wanauawa kila siku na iko kimya tu ila kuvamiwa Ukraine basi wanataka watu tusilale tuwajadili wao na uzungu wao.
Putin kamatia hapohapo usiachie
Nalog off
 
Mnataka awabebe mgongoni?
Vita hainaga macho..ukitaka kujua madhara ya vita kawaulize waganda na wale waishio Kagera waliokuwepo enzi za vita ya Kagera ilikuwaje..
A maternity ward and a children's ward have been destroyed in a Russian air strike on a hospital in the southern city of Mariupol, officials there say.
"The destruction is colossal," the city council says. There are reports of many dead and injured, with children buried under rubble. BBC.

Mwanadamu wa kawaida, hata asiye mcha Mungu, kati ya vitu ambavyo ni vigumu kwake kufanya ni kuua. Ngumu zaidi ni kumwua mtu asiye na hatia. Lakini ngumu zaidi na zaidi, ni kuwaua watoto, tena watoto wadogo.

Kwa sababu za namna yoyote ile ambayo Putin anaweza kuitoa, hakuna hata moja inayoweza kumpa uhalali wa kuwaua watoto wadogo, na wananchi wa Ukraine. Tangu mwanzo wa vita, raia wa kawaida, watoto na wagonjwa waliopo mahospitalini, wamekuwa wakiuawa na makombora ya Putin. Hii si mara ya kwanza kwa makombora ya Putin kupiga hospitali na kuwaua wagonjwa.

Tunakuomba Mungu wetu uwajalie pumziko jema la milele watoto waliouawa leo na siku zilizopita na makombora ya Russia huko Ukraine. Na pia hata watu wazima wasio na hatia yoyote ile. Lakini kwa mkono wako wenye uweza wote, tunakuomba, ukawahukumu na kuwaadhibu Russia sawa na matendo yao kwa mauaji wayafanyayo dhidi ya wanadamu wenzao.
 
Russia imeshakanusha kuwa hizo ni fake news! Hilo jengo zamani kweli lilikuwa jengo la Wazazi na watoto,lakini liliachwa tangu zamani na harafu likachukuliwa na wanajeshi wa Ukraine.
 
Mpenzi wangu aliniuliza usiku wakati tumelala kitandani. Hivi Rais Putin si shetani kiasi gani kwa kuivamia Ukraine???

Sikutaka kuzozana kwasababu nilikua nimechoka, nikaamka na kwenda jikoni, nikachukua Kisu kikubwa sana halafu ni kikali kweli kweli na kwenda nacho chumbani. Nikamkuta amejilaza kitandani. Nilipofika nikakiweka katikati yetu kisha nikalala zangu. Akaniuliza hicho kisu kibwa halafu kikali si kitanichoma nikiwa usingizini??? Sitaweza kulala bora ukitoe kwasababu nakiogopa na ni hatari kuwa jirani yetu???

Nikamwambia jambo kama hili unalolikataa na kuliogopa, ndio Rais Putin analolikataa na kuliogopa pia, ila yeye unamuona ni shetani. Anakataa kuwekewa hatari karibu yake kwasababu hatolala na hatari hio isije kumdhuru wakati akiwa usingizini kama wewe.

USA na NATO wanataka kumwekea Vinu Vya Nuclear Na Silaha Za Nuclear katika nchi ya Ukraine ambae ni Jirani Yake!!! Alikipinga kwa maneno ila hawakusikia!!! Na sasa ndio anachokipinga kwa vitendo!!!
You're the best buddy!
 
😍
 
Huyu mjeda kauwawa Ukraine:
🇺🇦UKRAINE: Russian Lieutenant General Yakov Rezantsev, 48, has reportedly been killed in a strike by the Ukrainian armed forces, according to their Defense Department.

He was Commander of the 49th Combined Arms Army of the Southern Military District.

Russia has not yet confirmed his de
FB_IMG_1648358803019.jpg
 
Back
Top Bottom