EeenHeee! Stori nzuri.Mpenzi wangu aliniuliza usiku wakati tumelala kitandani. Hivi Rais Putin si shetani kwa kuivamia Ukraine???
Sikutaka kuzozana kwasababu nilikua nimechoka, nikaamka na kwenda jikoni, nikachukua Kisu kikubwa sana halafu ni kikali kweli kweli na kwenda nacho chumbani. Nikamkuta amejilaza kitandani. Nilipofika nikakiweka katikati yetu kisha nikalala zangu. Akaniuliza hicho kisu kibwa halafu kikali si kitanichoma nikiwa usingizini??? Sitaweza kulala bora ukitoe kwasababu ni hatari kuwa jirani yetu???
Nikamwambia jambo kama hili unalolikataa, ndio Rais Putin analolikataa pia, ila yeye unamuona ni shetani, anakataa kuwekewa hatari karibu yake kwasababu hatolala na hatari hio isije kumdhuru wakati akiwa usingizini kama wewe.
USA na NATO wanataka kumwekea Mitambo Na Silaha Za Nuclear katika nchi ya Ukraine ambae ni Jirani Yake!!! Na ndio anachokipinga!!!
W Bush atakuwa Satan cubic [emoji16]Kama Putin ni Satan, George W. Bush ni nani?
Majamaa hayajui hata propaganda za mabeberu yakimchukia Mtu, yamezuzuka na huu upuuzi ilihali Iraq, Yemen, Afghanistan, Libya na hata Syria hatukusikia huo uzushi kama vile kulikuwa kunauwawa kenge wala si Watu.Aanzae havumi bali amalizae,
Putin endeleza kichapo, mwaka huu ulaya zamu yenu
Pale Libya utafikiri walikuwa wanawinda swala na hakuna kelele zozote tulizozisikia
Usa na NATO kuua raia nchi nyingi haihalalishi na Urusi nae kufanya hayo kwa Ukraine.Hivi USA na NATO wameua raia wasio na hatia nchi ngapi?
Sema hao jamaa walichofanikiwa ni propaganda za hali ya juu.
Short and clear analysis [emoji120]Yaani mwaka huu mmeshikwa pabaya wazungu wa kibongo. Amerika walipovamia Iraq, Libya hapo ni watakatifu. Bado Islael inauwa wapalestina kila siku hao ni Malaika ?Vita nyingi ya Africa inaletwa na hao wazungu na kuja kusomba utajili asilia wetu hatuoni. huku wakituita ngedele . Tena wana msemo wao utasikia wakisema "let's moncky kill themselves" Mimi ninaona Putin ni kama Malaika Gabriel kaja na upanga kuilinda dunia. Magufuli aliona mbali sana kwamba ni wakati wa Africa kujitegemea lakini wavivu wa upeo na kufikilia wamwona kichaa . Sasa ngoja Mungu awaletee Malaika mwenye upanga. Nasema Putin husicheke na nyani utavuna mabua.
US wanataka (subject to proof) wewe uliweka. Huoni tofauti? Na wewe ungetaka halafu shem aanze kukuminya kengele ungeona ok?Mpenzi wangu aliniuliza usiku wakati tumelala kitandani. Hivi Rais Putin si shetani kiasi gani kwa kuivamia Ukraine???
Sikutaka kuzozana kwasababu nilikua nimechoka, nikaamka na kwenda jikoni, nikachukua Kisu kikubwa sana halafu ni kikali kweli kweli na kwenda nacho chumbani. Nikamkuta amejilaza kitandani. Nilipofika nikakiweka katikati yetu kisha nikalala zangu. Akaniuliza hicho kisu kibwa halafu kikali si kitanichoma nikiwa usingizini??? Sitaweza kulala bora ukitoe kwasababu nakiogopa na ni hatari kuwa jirani yetu???
Nikamwambia jambo kama hili unalolikataa na kuliogopa, ndio Rais Putin analolikataa na kuliogopa pia, ila yeye unamuona ni shetani. Anakataa kuwekewa hatari karibu yake kwasababu hatolala na hatari hio isije kumdhuru wakati akiwa usingizini kama wewe.
USA na NATO wanataka kumwekea Mitambo Na Silaha Za Nuclear katika nchi ya Ukraine ambae ni Jirani Yake!!! Alikipinga kwa maneno ila hawakusikia!!! Na sasa ndio anachokipinga kwa vitendo!!!
Achaa conspiracy theory! Eti US walikuwa wanatafuta sababu ya kudhoofisha uchumi wa Russia. Watu kama ninyi mngeambiwa mtambue Kagera ni sehemu ya Uganda baada ya kutwaliwa na Uganda mngekubali.Hamna Rais Mjinga kama wa Ukraine.
Putin alikua na Matakwa mawili tu
1/Ukraine isiwe sehem ya NATO.
2/Ukraine iitambue Crimea kama sehem ta Urusi.
Alivyo mjinga, akaingia mtego wa Marekan na Ulaya...Ulaya na Marekan walikua wana tafuta sababu ya kuudhofisha uchumi wa Urusi.
Wakampa Bichwa... Ohooo tutakuunga mkono...NATO haitakuacha..
Matokeo yake akatumiwa naye akajiamin, akaanza jeuri, ohoooo Suala la NATO hatuingiliwi, ohooo Crimea ni Ukraine ohoooo vile.
PUTIN AKAANZA KUMTANDIKA.
Wamarekan wameufyata, NATO imetulia, ulaya imetulia , saizi amekua kama digidigi, wanampa moyo kwa msaada wa kijeshi.
Ndo SASA anakuja na maneno mapya..ohooo Niko tayari kuzungumzia Suala la Ukraine kutokua sehem ya NATO, ohooo Crimea pia tutazungumzia,... Sasa Warusi nao kadir vita inavyosonga wanazidi kuongeza Masharit, saizi wanamtaka ayambue majimbo ya Donbass kama nchi huru !!
Rais Mjinga aliyetumiwa bila kujijua.
Ukraine hana masilahi kwa NATO,... Marekan waliwafadhili magaidi kupambana na USSR kule Afghanistan,, wakafadhili wageorgia kupambana na Urusi. Wamefadhili tena waukraine !!.
[emoji736][emoji736] vijana wa putin tume kubali udadavuajiMpenzi wangu aliniuliza usiku wakati tumelala kitandani. Hivi Rais Putin si shetani kiasi gani kwa kuivamia Ukraine???