Pearce
JF-Expert Member
- Dec 15, 2018
- 732
- 1,746
Huku akiendelea washushia Makombora ya Kila namna kuanzia makazi mahospital na vituo vya kitamaduni na masoko akihojiwa na waandishi wa habari.
Putin ndio mkombozi sio tu wa Ukraine pia kwa Bara Zima la Ulaya
Hakuacha tamaduni ya vitisho akiendelea watiisha majirani zake wa Scandinavian kuwa NATO ikiongeza au ikipeleka miundombinu ya kivita atakiwasha kitawashika (ikumbukwe tu hapo awali alishawatisha huku akimpiga Ndugu yake Ukraine kama mfano kwa jirani wengine) Ole wake mtu ajiunge NATO
Kama haitoshi akiwa kafunga kabisa njia ya bahari nyeusi na Lithuania mwanachama wa NATO nae akafunga njia za reli za Urusi kuifikia Kalingrad. Hatua za vitisho vikafuatia lakini kwa kuwa Lithuania ni mwanachama wa NATO ameishia kutumia vivuko au pantoni kufikisha bidhaa zake kuifikia Jimbo la Kalingrad.
Nadhani ndio Taifa linaloongoza kwa Mikwara na likitumia gesi na mafuta kama siraha ya maangamizi baada ya kudhalilika kijeshi
Halaamsik