Mkuu ji-update kwa current information kuhusu nini kinaendelea - kwa taarifa yako Lithuania imekwisha nywea - hachimbi tena mikwara, wapambe wake wote wa Ulaya pamoja na US wamemshauri kwamba ni hatari kuitunia misuli Urusi!!
Kwa maneno mengine NATO waliona hawawezi kuingia vitani kichwa kichwa na Urusi kwa ajili ya ufedhuli wa Lithuania kumuwekea blocked Mrusi hasisafirishe mahitaji yake kwenda kwenye jimbo lingine la Taifa lake - unapo wakea Taifa blocked ni sawa sawa na kumtangazia vita - NATO na kinara wao wakachekecha wakaona waki-envoke so called article 5 patachimbika, hasa baada ya kumsikia kaimu wa ushauri wa jeshi la Urusi Mh.Mendvev kwamba kikundi au Taifa lolote litakalo leta fyoko watakiona!! Kilicho tokea Lithuania ikaondoa blocked na kuruhusu Urusi kusafirisha mizigo yake kama kawa.
Bottom line, is: Ivan the terrible si mtu wa kuchezea hata kidogo ana mahesabu makali sana si hilo tu vile vile Putin (Ivan the terrible) ni mega smart upstairs.