Mtyela Kasanda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2018
- 554
- 819
Putin akizungumzia ripoti ya uchunguzi ya Robert Mueller amesema serikali yake haikuingilia uchaguzi wa Marekani. " ilikua ni dhahiri kwetu toka mwanzo kwamba matokeo yatakua hivi". Mueller alikua anachunguza ushawishi wa Russia katika ushindi wa raisi Trump. Matokeo ya uchunguzi huo yalikamilika mwishoni mwa mwezi wa tatu. Katika hali ya kudhihaki uchunguzi huo Putin alisema kazi kubwa iliotiliwa maana imetoa matokeo kidogo tofauti na matarajio ya wengi walioamini Russia ilihusika. Robert Mueller alikua mkurugenzi wa FBI ( FBI director) kuanzia 2001 mpaka 2013.