Putin Maji Shingoni, Alia na Mataifa ya Magharibi

Pale gongolamboto Kuna mwaka yalilipuka mabomu ya JWTZ ...baadhi ya watanzania kwa hofu kubwa walikimbia Hadi Chalinze...sauti ya mlipuko wa mabomu hayo ni wa kawaida Sana, kuliko hayo ya hypersonic ya Russia...
Pale gongolamboto watu wengi walikimbia na kuacha watoto wao ambao baadaye walikusanywa pale uwanja wa taifa shamba la bibi na wazazi wakaja kuwatambua...
By the way hayakuwa mabomu; zilikuwa baruti tu; vichwa vyenyewe vya maangamizi havikuwepo pale inavyodaiwa.
 
Stori ya kuchekesha kwa tukio lile ni kile kinachosemekana na kuelezwa kuwa mama mmoja alimbeba paka akidhania ni mwanae na kutembea kwa umbali mrefu akiamini amembeba mwanae...
 
Ha ha ha! Very interesting story.
 
Back
Top Bottom