Putin kuhudhuria Tamasha kubwa la kusherehekea miaka 8 tangu waikomboe Crimea. Atahutubia Dunia!

Ahudhurie tu Cremea lakini aje vitaua Ukraine ndio inaenda kumalizana naye mwakani hataweza tena kahutubia Crimea sababu hawakuweko madarasani atake asitake

Hiyo itakuwa hotuba yake ya mwisho awaage kabisa
Sawa
 
We jamaa unaongeaga pumba sana.hivi unaelimu gani
 
Ahudhurie tu Cremea lakini ajue vita ya Ukraine ndio inaenda kumalizana naye mwakani hataweza tena kahutubia Crimea sababu hatakuweko madarakani atake asitake

Hiyo itakuwa hotuba yake ya mwisho awaage kabisa
 
Screenshot_20220319-000248_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20220319-000307_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20220319-000324_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20220319-000339_Samsung Internet.jpg
 
Back
Top Bottom