Putin kakanyaga pabaya

Sasa hii umeandika ndiyo nini?
 
China hawez kupigana hii vita mkuu fuatilia sera za China mkuu
 
Jeshi la Urusi limerudi kambini kuwasubiri rasmi NATO

sasa hivi Vitani wapo Wagner wakisaidiwa Silaha na mbinu tu za kupambana

sasa hivi kinachoendelea huko Ukraine ni mapambano ya utangulizi tu

Russia iligundua mbinu kongwe ya Marekani ya kupiganisha vita kwa miaka mingi na wakishachoka adui ndio anaingia mwisho mwisho kuchukua point 3 kama alivyofanya kwny 1 and 2 WW

hii vita huenda ikaisha 2024 baada ya uchaguzi Mkuu wa Marekani
 
Sasa ameishiwa silaha 2yrss kumbuka kawekewa vikwazo wenzake bado wanafanya vizur kiuchumi yeye anadidimia hata wananchi wake watamchukia
Mkuu urusi hajaanza kutumia silaha zake. Alikuwa anatumia silaha za kizamani zilizobakia ww2, hakuna mwanajeshi mzoefu wa urusi aliyeenda front hata mmoja, kyv anahangaika na madogo wa mtaani na wale wa weigner.
 
Yaan putin alitakiwa kumaliza vita ndan ya muda mfupi sana hii long term anajitengenezea shimo
Vita imekuea ngumu kwa puttin sababu anapiga kwa kuvizia coz wanajeshi wa kyv wamejichanganya kwa raia na wanapambana wakiwa na ngao ya civillians, wameweka makombora shuleni, hospitali na sehem za watu. Vinginevyo vita ingeshaisha
 
Sawa lakin sasa Putin anaishi kwa wasiwasi haamin kiumbe chochote ulinzi umeongezeka yaan hata nchini kwake pia hapapo salama kwake just imagine yaan wamempa mzgo wa matatizo ili mwisho aanguke
Puttin hana wasiwasi wenye easiwasi ni hao mnaowaona wanaweweseka
 
yaani na akili zako za kunyolea nywele unaamini kabisa porojo za ICC,haya tuambie sasa nani ataenda kumkamata huyo gwiji, kama sio unataka another ww,
wamarekani wa kona ya bwiru kwenye issu serious mmeanza kuleta propaganda zenu
Kwanza nchi itakayomkamata putin ni nchi gani labda marekani pekee na kamwe hawezi kwenda huko
 
ICC ni kwa ajili ya nchi za africa tu
 
Acha kuandika Kwa muhemko, Et kanyaga pabaya.

Bush alimuua Sadam, licha ya kushindwa kuthibitisha madai ya Silaha sumu, alipeleka ICC??.


Ukishakua na Silaha za Nyukilia, Wamagharibi wanabaki kua kama Mbwa Koko tu wanabweka huku wameufyataaa mkia.
 
Sasa ameishiwa silaha 2yrss kumbuka kawekewa vikwazo wenzake bado wanafanya vizur kiuchumi yeye anadidimia hata wananchi wake watamchukia
Kabla ya Kuandika Chochote Fanya Utafiti , Hivi Ndani Ya Mwezi Huu Bank Ngap Ulaya Na Marekani Zinakaribia Kufilisika ...! Ulaya Uchumi Umeyumbaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…