Arsenal ya urusi ime-shake mpaka ahitataji tag ya mchina?Ukraine atapigwa tu ndugu yangu, hiyo ICC haiwezi kumfanya chochote Putin.
We unadhani nani anaweza kumkamata Putin? Hizo ni mind games za NATO baada ya kuona kichapo kule Bakhmut.
Next week Xi Jinping atamuona Putin, kumbuka kwamba China ana capacity kubwa sana ya kutengeneza silaha.
Nato na Ulaya wanahofia kwamba China akitia mguu itakuwa ngumu sana kwa Ukraine kushinda. Ila ndo kitu kinaenda kutokea, China lazima ampe silaha mrusi na Ukraine mwisho wa siku atadundwa tu
Siamini hivo, nadhani Urusi ame adopt forward looking approach, ndo mana kwa sasa ameamua kuweka reserve strategic weapons what if kunaweza kukazuka vita nyingine kubwa?Arsenal ya urusi ime-shake mpaka ahitataji tag ya mchina?
Next time kabla hujaandika fanya homework kwanzaNlikua naona urusi atashinda ila kwa hii stage aisee marekan n dubwan kubwa kabisa ambalo huwezi kushindana nalo kabisa wao wamemuwekea vikwazo yeye hajaweka kuonesha bado anawahitaji jana ICC wametoa amri akamatwe yaan anaishi kama digidigi biden alienda had uwanja wa vita ila putin hajaenda hii inaonesha jamaa hata watu wake hawamkubal aisee jamaa amegusa pabaya
Ukraine atapigwa tu ndugu yangu, hiyo ICC haiwezi kumfanya chochote Putin.
We unadhani nani anaweza kumkamata Putin? Hizo ni mind games za NATO baada ya kuona kichapo kule Bakhmut.
Next week Xi Jinping atamuona Putin, kumbuka kwamba China ana capacity kubwa sana ya kutengeneza silaha.
Nato na Ulaya wanahofia kwamba China akitia mguu itakuwa ngumu sana kwa Ukraine kushinda. Ila ndo kitu kinaenda kutokea, China lazima ampe silaha mrusi na Ukraine mwisho wa siku atadundwa tu
Next time kabla hujaandika fanya homework kwanza
A recent poll reveals 70% of Russians support the ‘special military operation’
Kuhusu ICC Urusi sio signatory wa hiyo kitu na hakuna wa kumkamata zaidi ya Nchi signatory wa ICC… kiuhalisia nambie nchi gani inaweza jaribu hilo
NB: Marekani sio signatory wa ICC either!
Maskini!Pia vita ya ukraine imeisha na urusi ndo mshindi. Kyv imeishiws askari
Mkuu jisomee kidogo kwanza kabla ya kuleta uzi jf huku kunawatu wanafikiri kwa kutumia vichwa
Baada ya kutolewa kwa Hati ya kukamatwa kwa rais wa Urusi Vladimir Putin watu wengi wamekuwa na shahuku ya kujua hati hii itafanyaje kazi? Na je raisi huyu anawezaje kukamatwa huku akiwa madarakani tena nchi yake (Urusi) pamoja na nchi aliyotuhumiwa kuifanyia uharifu (Ukraine) zikiwa sio wanachama wa ICC?
Tuanze na swala la uanachama, ICC ni mahakama ya kimataifa inayoshughulikia makosa ya kivita(War crime), uharifu dhidi ya binadamu( Crime against humanity), Mauaji ya Kimbali (Genocide) na Uvamizi (Act of Agression) Mahakama hii ilianzishwa Julai 1, 2002 huku ikiwa na wanachama 60 kufuatia Mkataba wa Roma wa Mahakama ya Jinai ya Kimataifa (Rome Statute) wa mwaka 1998. Baadhi ya mataifa ambayo hayakukubali kuwa wanachama wa Mahakama hii ni Marekani, China, Iran, Israel, Qatar, na Libya.
Nlikua naona urusi atashinda ila kwa hii stage aisee marekan n dubwan kubwa kabisa ambalo huwezi kushindana nalo kabisa wao wamemuwekea vikwazo yeye hajaweka kuonesha bado anawahitaji jana ICC wametoa amri akamatwe yaan anaishi kama digidigi biden alienda had uwanja wa vita ila putin hajaenda hii inaonesha jamaa hata watu wake hawamkubal aisee jamaa amegusa pabaya
Yaan huwa naona urusi amewahi hii vita wenzie walijipanga toka 2014 kuja kummaliza yeye hakushuka hata
yaani na akili zako za kunyolea nywele unaamini kabisa porojo za ICC,haya tuambie sasa nani ataenda kumkamata huyo gwiji, kama sio unataka another ww,Nlikua naona urusi atashinda ila kwa hii stage aisee marekan n dubwan kubwa kabisa ambalo huwezi kushindana nalo kabisa wao wamemuwekea vikwazo yeye hajaweka kuonesha bado anawahitaji jana ICC wametoa amri akamatwe yaan anaishi kama digidigi biden alienda had uwanja wa vita ila putin hajaenda hii inaonesha jamaa hata watu wake hawamkubal aisee jamaa amegusa pabaya
Hivi mwanzoni Putin alisema ataimaliza hii vita ndani ya muda gani vile? Je sasa hivi si mwaka sasa na bado hajui afanye niniUkraine atapigwa tu ndugu yangu, hiyo ICC haiwezi kumfanya chochote Putin.