dev senior
JF-Expert Member
- Aug 12, 2012
- 459
- 557
Hii ilikuwa lebanon mzee. Walikuwa wamekamata shehena ya ammonia. Sumu inayotumika kutengenezea mbolea. Huo ni mlipuko wa ammonia kwenye storage silos.
Hata kugoogke huwezi mkuuHuo ni mlipuko wa explosive stuffs bandarini lebanon
Machizi wenzako watakuamini!!!!! Umepata faida gani baada ya kudanganya?????????????????? Au ndiyo tuna wasomi wajinga??????????????Juzi meli ya uingereza imelipuliwa ikiwa inashusha silaha badari ya odesa. Yameshushwa mabom 4 ya kilo haswa. Kwa video nlivtoona hayo mabom sijui ni aina gani maana ni kama limelipuka ila linatoa hewa ambayo inapuliza kila kilichokaribu yake na kukisambaratisha. Nitashea video hapa ikikubali ku uploadView attachment 2706575
Acha ujuha ww, watu tupo na habari. Google ww. Iyo milipuko ni Middle east.Hata kugoogke huwezi mkuu
UONGO MKUBWA HII VIDEO NI YA BEIRUT PALE BANDARINI KWAO BAADA YA KUTUNZA KEMIKALI YA MBOLEA VIBAYAJuzi meli ya uingereza imelipuliwa ikiwa inashusha silaha badari ya odesa. Yameshushwa mabom 4 ya kilo haswa. Kwa video nlivtoona hayo mabom sijui ni aina gani maana ni kama limelipuka ila linatoa hewa ambayo inapuliza kila kilichokaribu yake na kukisambaratisha. Nitashea video hapa ikikubali ku uploadView attachment 2706575
Pro Russia wengi kama si wote ni kama manyumbu mkuu.Cheki hii Mi ZUZU yote hapo juu ime ingia mkenge 😂😂😂
Sidhani!!! Hili ni tukio la Lebanon, wakati ghala la mbolea lilipo lipukaJuzi meli ya uingereza imelipuliwa ikiwa inashusha silaha badari ya odesa. Yameshushwa mabom 4 ya kilo haswa. Kwa video nlivtoona hayo mabom sijui ni aina gani maana ni kama limelipuka ila linatoa hewa ambayo inapuliza kila kilichokaribu yake na kukisambaratisha. Nitashea video hapa ikikubali ku uploadView attachment 2706575
Tunapo sema Vijana wengi wanao shabikia Urusi kweny hii vita ni wendawazim hua mnatuona tuna waonea sasa ona ZUZU hili lime okota video uko mtandaoni likazani humu wote ni wajinga wajinga wapuuzi kama ProRussian wengine
video ni ya mlipuko ulio tokea Beirut we una husisha na Ukraine
Pathetic
Mnaanza kuokoteza video za Beirut.Juzi meli ya uingereza imelipuliwa ikiwa inashusha silaha badari ya odesa. Yameshushwa mabom 4 ya kilo haswa. Kwa video nlivtoona hayo mabom sijui ni aina gani maana ni kama limelipuka ila linatoa hewa ambayo inapuliza kila kilichokaribu yake na kukisambaratisha. Nitashea video hapa ikikubali ku uploadView attachment 2706575
Na mwabukusi wakili msomi ndo lugha zake hizoHio ndio Lugha mabeberu wanayoelewa. kp kipanya44 Proved
Jf imekuwa na wajinga sana siku hizi. Alafu hawa wote ndo unawakuta wanakunja uso eti bandari imeuzwa. Kumbe ni wajinga tu waliojaza ujinga kichwaniCheki hii Mi ZUZU yote hapo juu ime ingia mkenge 😂😂😂
Jinga kabisa... hiyo ni Beirut! Popoma wahedPutin ni master
Yaani hii thread bado ipo pamoja na kuwa proved wrong na aliyeileta bado yupo hai?Hawa watu sijui ni ujinga au ukosefu wa akili na maarifa au ni kujiyoa ufahamu.
Yaani ajali imetokea Beirut, jitu zima linaamua kuwadanganya watu likijua watu hawana maarifa.
Mods ondoeni hii thread kwa sababu ni uwongo uliotengenezwa na mtu mmoja ambaye hastahili kuwemo JF. Na ikiwezekana mpeni adhabu ili kupeleka ujumbe kuwa JF siyo mahali pa kufanyia umbea.