Putin kafumua mshono tena

Putin kafumua mshono tena

Billion Dolar

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2021
Posts
1,440
Reaction score
3,247
Juzi meli ya uingereza imelipuliwa ikiwa inashusha silaha badari ya odesa. Yameshushwa mabom 4 ya kilo haswa. Kwa video nlivtoona hayo mabom sijui ni aina gani maana ni kama limelipuka ila linatoa hewa ambayo inapuliza kila kilichokaribu yake na kukisambaratisha. Nitashea video hapa ikikubali ku upload.

Juzi meli ya uingereza imelipuliwa ikiwa inashusha silaha badari ya odesa. Yameshushwa mabom 4 ya kilo haswa. Kwa video nlivtoona hayo mabom sijui ni aina gani maana ni kama limelipuka ila linatoa hewa ambayo inapuliza kila kilichokaribu yake na kukisambaratisha. Nitashea video hapa ikikubali ku uploadView attachment 2706575
Big ups to ma homie Putin!!
 
Tunapo sema Vijana wengi wanao shabikia Urusi kweny hii vita ni wendawazim hua mnatuona tuna waonea sasa ona ZUZU hili lime okota video uko mtandaoni likazani humu wote ni wajinga wajinga wapuuzi kama ProRussian wengine

video ni ya mlipuko ulio tokea Beirut we una husisha na Ukraine
Pathetic
 
Haya na nyie mnachukua hatua gani rasilimali zenu kuchukuliwa
[emoji1]

Ova
 
Back
Top Bottom