Jina lenyewe
Imeloa... huwezi kuwa na akili. Kutishia ni sehemu ya kuonya. Sasa hizo nyuklia walengeneza za kazi gani wewe uliyeloa?
Ulaya hawataki vita. Sema marekani ndio anawapiga vidole nawao wananusa. Acha wajifanye kushupaza shingo kikiwafika walixhopata ukraine watajua wenyewe.