Sasa unazo za kutosha ila hujui US anatoa majeshi yake Middle East?Usifikiri Sina Taarifa Ndugu, Hapa Tunawekana Sawa. Hizo Taarifa Kuwa USA Kakimbia Middle East Wewe Umezipata Wapi?
Middle East Gani Hiyo? Maana Mpaka Sasa Marekani Bado Ana Vikosi Na Bases Nyingi Tu Middle East. Wewe Unachanganya Kati Ya Syria Na Middle East!Sasa unazo za kutosha ila hujui US anatoa majeshi yake Middle East?
Sent using Jamii Forums mobile app
Anazo Warheads Zaidi Ya 300. Na Mainly Ni Kwa Ajili Ya Deterrence. Hata Urusi Naye Ni Kwa Ajili Hiyo Ndio Maana Anaishia Kuzungumza Tu Maana Wanajua Kwamba Hata Yeye Hayupo Salama Sababu Ya Kitu Kinachoitwa Mutual Assured Destruction.Anazo ngapi wakati unajua Russia ndiyo baba wa hayo madude duniani
Nani amekwambia shida zinazoeleka mkuu?.Fact ni kwamba Russia hawapendi kuwa kwenye depression kila kukicha hata kidogo,tatizo hakuna akili ya kuwatoa hapo walipo,Maana akili iliyoyopo inawaza military might 24/7.Hakuna nguvu muhimu kama nguvu ya uchumi asikudanganye mtu,you can do what ever you want.
Alafu Kuhusu Syria Marekani Wamesema Wataacha Baadhi Ya Vikosi. Kwahiyo Hata Syria Yenyewe, USA Bado Wapo!Sasa unazo za kutosha ila hujui US anatoa majeshi yake Middle East?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unachosha na unanikata stimu tu hapa. Kwanini wamepunguza Sasa jeshi huko? Sasa kikosi cha askari 200 nacho unaona ni kitu? Unajua level za vikosi vya askari? Kama brigedi Au batallion inahitajika kuwa na askari wangapi?...Alafu Kuhusu Syria Marekani Wamesema Wataacha Baadhi Ya Vikosi. Kwahiyo Hata Syria Yenyewe, USA Bado Wapo!
Soma Hapa:
DW :: White House says 200 US troops to stay in Syria
Point Yangu Ni Kwamba Vikosi Vya Marekani Nchini Syria Bado Vipo Ingawa Vimepungua. Na Hapo Nasemea Syria Sio Middle East.Mkuu unachosha na unanikata stimu tu hapa. Kwanini wamepunguza Sasa jeshi huko? Sasa kikosi cha askari 200 nacho unaona ni kitu? Unajua level za vikosi vya askari? Kama brigedi Au batallion inahitajika kuwa na askari wangapi?...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi zile meli na submarines zilizorusha makombora Syria mwaka Jana alishazilipua?!Unajua kawaeleza kuwa...nchi yoyote itakayopokea silaha za kuitisha Russia, si nchi hiyo tu itakayodhuriwa na 'majibu' ya Russia bali hata command centres za nchi iliyohusika kupeleka silaha hizo karibu na Russia.
Kuvipunguza maana yake ushawishi wake maeneo hayo umepungua ndio maana anasaka chimbo lingine. Na ku withdraw troops ni hatua hivyo atatoka mazima.Point Yangu Ni Kwamba Vikosi Vya Marekani Nchini Syria Bado Vipo Ingawa Vimepungua. Na Hapo Nasemea Syria Sio Middle East.
Hakuna kitu,Ukubwa au udogo wa deni la nje haudetermine strength ya uchumi,hio ni factor minor sana,Factor kubwa ni pato ghafi la ndani au GDP hii ndo inaongesha uhalisia ni jinsi gani watu wanazalisha na kununua vitu ili kuchangia uchumi.Kwa hapa Russia ni wa kawaida sana,Hata Southi Korea hamkamati,ndo akaitishe USA.Nchi pekee inayoiumiza kichwa USA kiuchumi ni China peke yake,hawa wengine ni swala tu.Ukiangalia worlds' biggest markets ambazo zinaweza ku shake na kuathiri uchumi wa Dunia,Wala Russia hawamo kabisaa.Hapa utazikua USA,China na Japan.Hawa wengine ni wa kawaida sana.Hebu chunguza deni la nje la urusi linapanda Au linashuka ndio utajua kwamba hicho kiburi cha Putin kinatoka wapi. Urusi ya sasa sio ile ya zamani..wanakuja juu kwa kasi sana kiuchumi. Ni tishio kwa US na ndio maana kakimbilia kupeleka fujo amerika huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa. Uko sahihi kulingana na source zako.Hakuna kitu,Ukubwa au udogo wa deni la nje haudetermine strength ya uchumi,hio ni factor minor sana,Factor kubwa ni pato ghafi la ndani au GDP hii ndo inaongesha uhalisia ni jinsi gani watu wanazalisha na kununua vitu ili kuchangia uchumi.Kwa hapa Russia ni wa kawaida sana,Hata Southi Korea hamkamati,ndo akaitishe USA.Nchi pekee inayoiumiza kichwa USA kiuchumi ni China peke yake,hawa wengine ni swala tu.Ukiangalia worlds' biggest markets ambazo zinaweza ku shake na kuathiri uchumi wa Dunia,Wala Russia hawamo kabisaa.Hapa utazikua USA,China na Japan.Hawa wengine ni wa kawaida sana.
Hata Hitler aliweza kupigana na kuingia hadi Moscow,Stalin akakimbilia mji mwingine na kusubir hali winter ndo wakawasogeza Germans.Kila nchi ilionja joto ya Hitler bana.Usiongee kishabikiKama mjerumani aliweza kumumdu mfaransa mpaka kuteka nchi nzima Russia hatachukua muda kuhakikisha vibaraka kama ufaransa wamefutika duniani Tsar Bullava nk hayo yote ni nyuklia
Ungea facts,sio opinion za kishabiki.
Uoga tu,ukiona mwanaume ana nguvu halafu kila saa anapiga mikwara ujue he has a weaknes. That's fact.Ukiona mtu kila siku anatoa vitisho ujue mwoga uyo! Maana kila siku ni Puttin ndiye analalamika na kupiga mikwara kibao wakati wenzake wako kimya wakifanya research na kuandaa mbinu za kukuza Uchumi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Facts? Facts zinapatikana wapi Sir?Ungea facts,sio opinion za kishabiki.
Vita ya Nuclear haina mshindi rafiki,asikudanganye mtu,yaani ni kama kuwasha kiberiti ukiwa kwako ukatupa kwa jirani uku nyumba yako umemwaga petrol.Unajua kawaeleza kuwa...nchi yoyote itakayopokea silaha za kuitisha Russia, si nchi hiyo tu itakayodhuriwa na 'majibu' ya Russia bali hata command centres za nchi iliyohusika kupeleka silaha hizo karibu na Russia.