Sijali
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 2,523
- 1,602
Kitu pekee ninachokipenda kwa vita hii, ni hawa Caucasians wafahamu hata Afrika tuna migogoro kwa sababu ya real issues: nyingi wamezianzisha wao. Na si kwa sababu ya upumbavu au ukatili (unyama) wetu. Walikuwa wanatutazama kama wenye matatizo ya akili, hatuwezi kuishi pamoja. Hellooooo!