Acha uongo bana dunia ya Leo huwezi danganya watu kirahisi hivi. We can't buy this cheap story.This chart is self explanatory na ndio sababu Russia kaona isiwe tabu,ukiongeza na oil inabidi atafute pa kutokea,washabiki na wanazi endeleeni kujifurahisha humu lakini Putin anajua akiendelea kuwa Mr Misifa amekwisha
USD/RUB: U.S. Dollar vs. Russian Ruble (courtesy of Barchart)
1.ISIS iko kwenye Defensive mode wala siyo kwenye Offensive mode tena.Teh teh teh....Putin kacheua baada ya kujifanya kimbelembele.
Sasa kachomoa na ISIS ipo palepale.
Vita ya ardhini ni gharama kubwa sana hivyo sidhani kama watafanya hivyo maana hata walipokuja kumsaidia Assad walisema hawataleta jeshi la ardhini.Kinachofuata Sryia ni mgogoro Hatari Zaidi kuliko huu wa kumuondoa Assad, Syria is running out of money Russia anamatatizo yake nyumbani... Kwa hiyo Option ni Urusi kutumia Wanajeshi wa Ardhini na Vifaa ghali Zaidi kuimaliza vita mapema sana , au Iran wapiganie Ushia na Hapo ndio itakuwa hatari sana.
Russian to keep its Khmeinmim air base in Latakia and a base at the port of Tartus after partial withdrawalLabda amkumuelewa vizuri waziri wa ulinzi amesema Kuna base kama mbili zitaendelea kuwepo hapo Syria . Siyo kweli kwamba majeshi yote ya Russia yameondolewa Syria ukitaka kupata balanced story usipende kuwatch western media.