Kwanza Iran haikumpa silaha urusi ila urusi alinunua toka Iran
Pili urusi urusi imesema inatarajia kumpatia Iran silaha, Kwa kauli hii urusi inathibitisha kuwa Iran imepungukiwa na silaha ndiyo maana anaomba Msaada
Tatu anachofanya Israel sasa hivi NI kumiliki anga na kuhakikisha hampi nafasi ya Irani kurusha makombora, Irani inaweza ikarusha kombora ila Israel inahakikisha hiyo launcher inaangamizwa
Sasa Kwa Hali ya sasa ama makombora yameangamizwa Kwa Kiasi kikubwa au launcher zimeangamizwa au vyote viwili
Wasiwasi wangu NI Iran inaweza ikapewa silaha lakini kipengele cha kuzifikisha battlefield hizo silaha ndiyo kigumu zaidi hasa ukizingatia Israel ana mamluki wengi ndani ya iran