Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 22,854
- 32,657
Rais wa Urusi Vladimir Putin ameahidi kuiunga mkono Iran, kufuatia mashambulizi dhidi ya taifa hilo yanayofanywa na Marekani na Israel.
Itakumbukwa kuwa, Iran imekuwa ikiipa silaha Moscow katika vita vyake vinavyoendelea na Ukraine na mataifa hayo mawili ni washirika wakubwa wa kimkakati.
#DWKiswahili
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app