Putin akiendelea kuichekea Ukraine: NATO italisambaratisha taifa hilo siku chache zijazo

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
9,462
Reaction score
23,246
Tukio la Drone za Ukraine kuteketeza madege ya thamani ya trillions za shilingi, Tena madege yaliyo ndani kabisa mwa Urusi ni tishio kuu ambalo likipuuzwa litakalofuata litavuja UTI wa magongo wa Jeshi la Russia.

Hivi juzi nimesoma mamia ya document zenye picha na taarifa nyeti za Siri za urusi za Maficho yote ya silaha ZAO za Nyuklia na ramani ya namna ya kufika zimevuja KWA West. Sasa wanaweza kuwasuprise zaidi.

Juzijuzi ndege ya Rais wa Urusi Putin akiwemo imenusulika kudunguliwa na drones za Ukraine. Hii inaonyesha hata Putin anaishi KWA sababu za kisiasa tu Kijeshi wakiamua Ukraine wanamuondoa.

FSB wanadhalilishwa kuonekana hawawezi kazi na Russia yote Iko uchi KWA mataifa pinzani ni wao tu kuamua waanze na nani na wapi.

Sasa ni hakika Putin akiendelea kupuuza kumshikisha adabu Zelenski na kutengua kabisa UTI wa magongo wa operations za Jeshi la Ukraine na Intelijensia yake na wanaowapa kichwa nchi ya Russia italemazwa kabisa kijeshi.

Binafsi nimesikitishwa sana kuona midege ya thamani ikiteketea utadhani kuni. Hii inaonyesha Sasa Ukraine inaweza kufanya chochote ndani ya Russia hata kuivuruga na kuiangisha kabisa KWA msaada wa west.

Ni hayo tu
 
We unazani vita ni kazi rahisi kama unavyokunya sio
Sasa ntu anajipigia anavyotaka ndani ya nchi na Kila sehemu. Kwa taifa ambalo tunalisifu kiintelijensia ni tusi kubwa. Kama SBU wanaweza kuwaka ofisi pembeni ya jengo la FSB Russia ndani kabisa, na kiendesha operation ya kuteketeza madege ya kimkakati. Nchi chovu kama Ukraine inaweza kufanya hivyo CIA au MI6 SI watakuwa na base Hadi Ikulu ya Putin
 
Ukraine ni nchi chovu hivi unaakili timamu kweli wewe
 
Putin naona unataka hii vita iende miaka 30.Huwezi kupigana na mtu ambaye ana-back up ya wazi ya mataifa mengine 30+ tena matajiri mengibe kukuzidi wewe, unakaa unamwachia ajikusanye, humpi kashkashi yoyote ya maana, unakalia unapiga sijui power lines etc..huu ni ujinga wa kiwango cha lami.
Hapo ilikuwa na kumu-overwhelm tu Ukraine..
Tangaza siku tatu watu waondoke Kiev - then nyesa mvua ya makombora pale, mpaka akili zikae sawa.
Tangaza SBU ni kikundi cha Kigaidi.
Tangaza serikali yote ni batili
Teketeza government institutions zote, majengo, bunge etc
Zile reli kutoka Poland kwenda Kiev washa moto,
Toa list ya watu waliohusika na kutenda maovu ya moja kwa moja kinyume na sheria za vita, mfano hao waliolipua treni ya abiria: Tengeneza sheria ya kuwawinda to the rest of their life..
Mbona vita vinaisha ndani ya wiki 2 tu.
Hivi Putin anafikiri 1945 mpaka US anaamua ku-nuke Japan, shida ilikua nini?Ni mambo hayahaya tu - vita haiishi, watu wabishi hawakubali kushindwa
 
Jamaa ameniudhi sana. Labda kama ni mpango wa wanaoendesha dunia kuirefusha hiyo vita akiwemo na Putin.

Wale jamaa walipshambuliwa Bucha wakati wanaenda Kiev walitakiwa kujipanga waendelee tena Hadi wamtoe Zelenski Ikulu. Leo wanaweza kuvurugwa na wakaanza kuibua hata uasi kama wa zamani Chechnya na west wakatumia kama gumbo kuidhoofisha kabisa Russia kupitia Ukraine.

Putin simuelewi kabisa siku hizi.
 
Vita sio Rahisi hivyo kama unavyokunya huyo Putin mwenyewe anamisaaada kutoka Iran china Korea lakini jasho linamtoka ni rahisi kuielezea vita hapa jamii forum lakini ingia ground ndio ujue ugumu wake
 
Hivi wewe unaakili timamu kweli unafikiri vita dhidi ya nchi ilivyokua vizuri kijeshi ni maneno hayo ya mdomoni unayoongea kirahisi sio eti apige amalize vita anavyopiga yeye atakua hapigwi vita sio taarabu
 
Sio rahisi km unavyofikiria, ingekuwa vita ni rahisi hivyo, Israel angekuwa ameshaiteka Gaza yote kwa muda mrefu, vita vya siku hizi ni lazima utumie akili kubwa sana ilinuchumi usiathirike, mfano: Ukraine wanatengeneza drone za ghalama ndogo sana lkn madhala yake ni makubwa, ukitaka kuzindungua utatumia makombora ya ghalama kubwa kuliko ghalama za drone, ndio maana drone zinaingia Urusi lkn kuzitungua inakuwa mtihani.
 
Vita sio Rahisi hivyo kama unavyokunya huyo Putin mwenyewe anamisaaada kutoka Iran china Korea lakini jasho linamtoka ni rahisi kuielezea vita hapa jamii forum lakini ingia ground ndio ujue ugumu wake
Wewe kiazi mbatata kabisa, Unalinganisha US, NATO, GERMANY, UINGEREZA, SWEDEN etc na Iran na North Korea??
 
Mavi wewe kubwa jinga urusi linasaidiwa na china Iran korea msaada ni msaada hamna Cha kulinganisha jinga wewe Putin ni mpiganaji wa vita ya mdomoni kama kuduku ila ground ni empty Ukraine inamtoa jasho la matako miaka 4 sasa ndio ujue vita sio kitu rahisi
 
We unazani vita ni kazi rahisi kama unavyokunya sio
Kwanza mleta mada atwambie kwanini anaamini kuwa Russia anawachekea wa Ukraine, hajawa serious na vita hiyo? Au Russia ndo walivyomwambia kwamba hawajawa serious na vita hiyo? Kama si hivyo, basi mleda mada anayo matarajio makubwa sana kwa ku Russia kuliko uwezo wao.
 
Tukio la Drone za Ukraine kuteketeza madege ya thamani ya trillions za shilingi, Tena madege yaliyo ndani kabisa mwa Urusi ni tishio kuu ambalo likipuuzwa litakalofuata litavuja UTI wa magongo wa Jeshi la Russia.

Hivi juzi nimesoma mamia ya document zenye picha na taarifa nyeti za Siri za urusi za Maficho yote ya silaha ZAO za Nyuklia na ramani ya namna ya kufika zimevuja KWA West. Sasa wanaweza kuwasuprise zaidi.

Juzijuzi ndege ya Rais wa Urusi Putin akiwemo imenusulika kudunguliwa na drones za Ukraine. Hii inaonyesha hata Putin anaishi KWA sababu za kisiasa tu Kijeshi wakiamua Ukraine wanamuondoa.

FSB wanadhalilishwa kuonekana hawawezi kazi na Russia yote Iko uchi KWA mataifa pinzani ni wao tu kuamua waanze na nani na wapi.

Sasa ni hakika Putin akiendelea kupuuza kumshikisha adabu Zelenski na kutengua kabisa UTI wa magongo wa operations za Jeshi la Ukraine na Intelijensia yake na wanaowapa kichwa nchi ya Russia italemazwa kabisa kijeshi.

Binafsi nimesikitishwa sana kuona midege ya thamani ikiteketea utadhani kuni. Hii inaonyesha Sasa Ukraine inaweza kufanya chochote ndani ya Russia hata kuivuruga na kuiangisha kabisa KWA msaada wa west.

Ni hayo tu
Nyani km we badala upambane na ufukara wako unajadili mambo ya matajiri km Russia? Lazima ni mwehu ww
 
Wewe ni Fala sana, kwa hoyo Ukraine ndio anastahili kupotezwa?
Vita ni sayansi na Putin amehenyeshwa sana na kataifa kadogo.
Hapo alipo Putin anajikaza tu lakini amepakwa sana mafuta ni siri yake.
 
Tukio la Drone za Ukraine kuteketeza madege ya thamani ya trillions za shilingi, Tena madege yaliyo ndani kabisa mwa Urusi ni tishio kuu ambalo likipuuzwa litakalofuata litavuja UTI wa magongo wa Jeshi la Russia.

Hivi juzi nimesoma mamia ya document zenye picha na taarifa nyeti za Siri za urusi za Maficho yote ya silaha ZAO za Nyuklia na ramani ya namna ya kufika zimevuja KWA West. Sasa wanaweza kuwasuprise zaidi.

Juzijuzi ndege ya Rais wa Urusi Putin akiwemo imenusulika kudunguliwa na drones za Ukraine. Hii inaonyesha hata Putin anaishi KWA sababu za kisiasa tu Kijeshi wakiamua Ukraine wanamuondoa.

FSB wanadhalilishwa kuonekana hawawezi kazi na Russia yote Iko uchi KWA mataifa pinzani ni wao tu kuamua waanze na nani na wapi.

Sasa ni hakika Putin akiendelea kupuuza kumshikisha adabu Zelenski na kutengua kabisa UTI wa magongo wa operations za Jeshi la Ukraine na Intelijensia yake na wanaowapa kichwa nchi ya Russia italemazwa kabisa kijeshi.

Binafsi nimesikitishwa sana kuona midege ya thamani ikiteketea utadhani kuni. Hii inaonyesha Sasa Ukraine inaweza kufanya chochote ndani ya Russia hata kuivuruga na kuiangisha kabisa KWA msaada wa west.

Ni hayo tu
Lengo la vita ni kuvishinda, ukiona Putin hadi sasa lengo lake halijatimia ujue hana namna, ngoma ngumu
 
Putin naona unataka hii vita iende miaka 30.Huwezi kupigana na mtu ambaye ana-back up ya wazi ya mataifa mengine 30+ tena matajiri mengibe kukuzidi wewe, unakaa unamwachia ajikusanye, humpi kashkashi yoyote ya maana, unakalia unapiga sijui power lines etc..huu ni ujinga wa kiwango cha lami.
Hapo ilikuwa na kumu-overwhelm tu Ukraine..
Tangaza siku tatu watu waondoke Kiev - then nyesa mvua ya makombora pale, mpaka akili zikae sawa.
Tangaza SBU ni kikundi cha Kigaidi.
Tangaza serikali yote ni batili
Teketeza government institutions zote, majengo, bunge etc
Zile reli kutoka Poland kwenda Kiev washa moto,
Toa list ya watu waliohusika na kutenda maovu ya moja kwa moja kinyume na sheria za vita, mfano hao waliolipua treni ya abiria: Tengeneza sheria ya kuwawinda to the rest of their life..
Mbona vita vinaisha ndani ya wiki 2 tu.
Hivi Putin anafikiri 1945 mpaka US anaamua ku-nuke Japan, shida ilikua nini?Ni mambo hayahaya tu - vita haiishi, watu wabishi hawakubali kushindwa
Wewe unaamini Ukraine hakuna nuclear pale kutoka West na Allies wake? Wakati vita vinaanza unakumbuka kilichokuwa kinazungumzwa na mataifa ya magharibi hasa UK? UK walisema wamedeploy nuclear weapons Poland, mpakani na Russia. Military base ya US iliyopo Japan ipo 24/7 kuchunguza kama kuna kiashiria chochote cha Russia kutumia Nuclear.

Yamkini Nuclear sio tishie tena kwa Ukraine au kwa mataifa ya Magharibi, hotuba ya kwanza kabisa ya Putin kutangaza hii Special Military Operation alisema taifa lolote litakalothubutu kuingulia kati kuisaidia Ukraine kwa namna yeyote ile (akiwalenga Magharibi) watakutana na mkono wa chuma wa Russia. Leo hii sote ni mashahidi, sio US, UK, German, France n.k wakipeleka misaada kweupe kabisa na hakuna kitu Putin amefanya. Tena ni silaha ambazo ndo zinaua warusi kweli kweli mfano JASMS, HIMARS, Javeline n.k
 
Hivi wewe unaakili timamu kweli unafikiri vita dhidi ya nchi ilivyokua vizuri kijeshi ni maneno hayo ya mdomoni unayoongea kirahisi sio eti apige amalize vita anavyopiga yeye atakua hapigwi vita sio taarabu
jamaa anaiongelea vita kama Simba v Yanga.
 
Putin naona unataka hii vita iende miaka 30.Huwezi kupigana na mtu ambaye ana-back up ya wazi ya mataifa mengine 30+ tena matajiri mengibe kukuzidi wewe, unakaa unamwachia ajikusanye, humpi kashkashi yoyote ya maana, unakalia unapiga sijui power lines etc..huu ni ujinga wa kiwango cha lami.
Hapo ilikuwa na kumu-overwhelm tu Ukraine..
Tangaza siku tatu watu waondoke Kiev - then nyesa mvua ya makombora pale, mpaka akili zikae sawa.
Tangaza SBU ni kikundi cha Kigaidi.
Tangaza serikali yote ni batili
Teketeza government institutions zote, majengo, bunge etc
Zile reli kutoka Poland kwenda Kiev washa moto,
Toa list ya watu waliohusika na kutenda maovu ya moja kwa moja kinyume na sheria za vita, mfano hao waliolipua treni ya abiria: Tengeneza sheria ya kuwawinda to the rest of their life..
Mbona vita vinaisha ndani ya wiki 2 tu.
Hivi Putin anafikiri 1945 mpaka US anaamua ku-nuke Japan, shida ilikua nini?Ni mambo hayahaya tu - vita haiishi, watu wabishi hawakubali kushindwa
Unafikiri rahisi hivyo unavyosema. Shughuli ipo. Uchumi wake pia hauruhusu sana kufanya hayo uyasemayo. Unakumbuka mara ya kwanza alikuja mzimamzima mpaka Kiev lakini akarudi akikimbia.
 
Back
Top Bottom