HaaaBado Majimbo Ya Rohansik Na Dornesk na yenyewe wakijisikia wanajinyakulia tu

Muda wa kuogopana umekwisha..Naona wakubwa wameamua kama mbwai acha iwe mbwai, wakati wa kufanya ni sasa ama haitakaa itokee...huku Israel, huku marekani Mara urusi duuh
Na kukanyagana!Yaaani ni shidaaa.Wanyonge tumebaki tuna ruka ruka tuu kama maharagwe yaivapo.
