Putin angezubaa kidogo sakata la Ukraine Urusi ingepata shida. Aliwaweza magharibi kwa kuirudisha Crimea.Daaah huo ndo udikteta!!!!
Kama hutaki hama nchi!!!
Sijui wamaproo wauchumi watatuambia nini?
Ukija tanganyika utakuta watu wanaangalia maslahi ya matumbo yao.Kila mtu anaangalia maslahi ya nchi yake tu...
Mataifa ya magharibi yakisikia jina la putin joto huwapandaUnamaanisha nini kijana kusema MUME WAO.
Kwanini walaani sass?Ukraine wamelaani hatua hiyo. View attachment 778302View attachment 778303
Ficha upuuzi wako. Pumbafu.Putin = Jiwe
mzee wa kugoogle. Hupo Tandale kwenye chumba cha kupanga lakini utasikia niko urusPutin anatutia mashakani sisi warusi weusi
Crimea rasmi UrusiUkraine wamelaani hatua hiyo. View attachment 778302View attachment 778303
Ndio,ndugu yake vladmir yovyhenko,ukoo wao mkubwa sanaNaomba kuuliza,huyu Vladimir Putin ndo mjukuu wa Vladimir Lenin au!!!!
alitumia weledi wa juu sana kuichukua crimea huyu jamaa kweli alikua spy hivi western hasa hawakupata hata tetesi kabla ya lile zoezi la referendum ya crimeaP
Putin angezubaa kidogo sakata la Ukraine Urusi ingepata shida. Aliwaweza magharibi kwa kuirudisha Crimea.